Faizafoxy yuko wapi?

Jamani wanajukwaa Faizafoxy member maarufu wa jamiiforums yuko wapi ?
Nimemiss zile kauli zake "shuleni ulienda kusomea ujinga ? "

Yuko katika ignored lists za Watu wengi humu JF hivyo siku hizi anajitahidi mno kuja na ID's mpya. Yupo sana humu Mkuu ila unahitaji ' umakini ' mkubwa kuweze kumjua. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Yuko katika ignored lists za Watu wengi humu JF hivyo siku hizi anajitahidi mno kuja na ID's mpya. Yupo sana humu Mkuu ila unahitaji ' umakini ' mkubwa kuweze kumjua. Naomba niishie hapa tafadhali.
Mkuu inaonekana unachunguzaga IDs za watu wengi humu ndani heeeeeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…