Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
yeye mwenyewe huyo?
Atakuja hapa sasa hivi na cha Kwanza baada ya kukosa cha kukukosoa, atakuanzishia na matumizi ya alama. Mfano kuanza na herufi kubwa baada ya Sentensijamani muda sana bibi,sijui au mama...yetu mpendwa wa kuturekebisha tunapokosea kiswahili na kutuletea vifungu vya qur'an,pamoja na kutufundisha civics hajaonekana.kapotelea wapi jamani...ndugu wa karibu au yeye mwenyewe ajitokeze aseme nini kimemkumba,sio siri uwepo wake JF ni muhimu sana aseeee.miss you sana FaizaFoxy
ndo nipo namsubiri hapa,mkuu...kitambo sana sijamsikia akirekebisha sisi wenye vichwa vigumu katika lugha.Atakuja hapa sasa hivi na cha Kwanza baada ya kukosa cha kukukosoa, atakuanzishia na matumizi ya alama. Mfano kuanza na herufi kubwa baada ya Sentensi
Hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hicho ki faiza hakijui chochote kinafki tujamani muda sana bibi,sijui au mama...yetu mpendwa wa kuturekebisha tunapokosea kiswahili na kutuletea vifungu vya qur'an,pamoja na kutufundisha civics hajaonekana.kapotelea wapi jamani...ndugu wa karibu au yeye mwenyewe ajitokeze aseme nini kimemkumba,sio siri uwepo wake JF ni muhimu sana aseeee.miss you sana FaizaFoxy
hahaha....huyu mkuu wetu faiza anazngua sometimes....sijui asa hapo alikuwa anamaanisha nini.Hicho ki faiza hakijui chochote kinafki tu
Hakijui lugha wala hiyo Quran
Na mpagani kwanza haamini uwepo wa Mungu
Huyu mtu hatari, atakuwa mperereziHicho ki faiza hakijui chochote kinafki tu
Hakijui lugha wala hiyo Quran
Na mpagani kwanza haamini uwepo wa Mungu
View attachment 483450
View attachment 483451
View attachment 483452
View attachment 483453
yupo kwenye anonymous name anamtetea bashite kinyumenyume hapa. au pengine ndio kuwadi wake kwa agi aliyepangishiwa jumba makongo.jamani muda sana bibi,sijui au mama...yetu mpendwa wa kuturekebisha tunapokosea kiswahili na kutuletea vifungu vya qur'an,pamoja na kutufundisha civics hajaonekana.kapotelea wapi jamani...ndugu wa karibu au yeye mwenyewe ajitokeze aseme nini kimemkumba,sio siri uwepo wake JF ni muhimu sana aseeee.miss you sana FaizaFoxy
Hahah...yupo vizur,si angetuaga vijana wake hapa.Faiza kaenda dubai likizo
Haa,inawezekana kweli?Kafukuzwa BAKWATA hela ya bando hana sasa hv anatafuta pa kufundisha madrasa
So tumsubiri? Nae atakuja na habari au maono na references kuhusu bshte e,yupo anaangalia movie ya bashite
Eh,kweli ndugu yetu atakuwa anahusika hapo?yupo kwenye anonymous name anamtetea bashite kinyumenyume hapa. au pengine ndio kuwadi wake kwa agi aliyepangishiwa jumba makongo.
Hah,ko yupo mzma wa kheri kabisa? Vp ametoa somo la kitabu kwa vijana w madrasa?FaizaFoxy nipo nae kwenye mkesha wa Maulid wa madrasa yetu