Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
- Thread starter
-
- #21
Ni muda sana katika karbu majukwaa yote sijaona,comment yake.lada kule kwenye uzi wake tu alouanzisha wa maswali ndo naona yupo uko.akuje kwa huku piaFaizafoxy yupo jana kanirekebisha kidogo humu jf
Huyu mtu hatari, atakuwa mpererezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,ndo walikuwa wanataka na wamepata.....[emoji115]= mpelelezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]= mpelelezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]= mpelelezi
Safi kabisa.= mpelelezi
Kweli ase.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,ndo walikuwa wanataka na wamepata.....[emoji115]
yupo ase na ameitikia wito wetu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe upo
Halafu kila siku nakufundisha matumizi ya hii alama (=) alama hii inamaanisha kilichokuwa upande mmoja ni sawa na kilicho upande mwingine= mpelelezi
...kila mtu ana umuhimu wake wakati fulaniKumbe huwa mnam-miss FaizaFoxy?
Hahahah...Halafu kila siku nakufundisha matumizi ya hii alama (=) alama hii inamaanisha kilichokuwa upande mmoja ni sawa na kilicho upande mwingine
Hivyo basi hapo utakuwa hujarekebisha kitu ,unajikuta mjuaji kumbe mweupe tu kichwani
ah ni mccm pia? kwanini asa hampendi magu.Atakuwa aling'oka pamoja na akina Ramadhan Madabida..........hana hamu na CCM tena!
ah ni mccm pia? kwanini asa hampendi magu.
ah kumbe.Dinin yake na ya Magu sio moja.....
Yupo anasoma yanayoendelea ya Daudi A. Bashitejamani muda sana bibi,sijui au mama...yetu mpendwa wa kuturekebisha tunapokosea kiswahili na kutuletea vifungu vya qur'an,pamoja na kutufundisha civics hajaonekana.kapotelea wapi jamani...ndugu wa karibu au yeye mwenyewe ajitokeze aseme nini kimemkumba,sio siri uwepo wake JF ni muhimu sana aseeee.miss you sana FaizaFoxy
Atakuwa aling'oka pamoja na akina Ramadhan Madabida..........hana hamu na CCM tena!
Nna-historia na CCM kabla haijawa CCM na kabla haijawa TANU, kumbuka hilo.Siasa za kujipatia madaraka zilianzishwa na wazee wetu wa Dar. - Kumbuka hilo pia.