Mungu hakumuumba shetani,wala hakuumba Dhambi
Mungu alimuumba Malaika mwenye uhuru wa kuchagua na kufanya maamuzi
[Freewill]
Malaika,kama tulivyo sisi,wana uhuru wa kutii au kutotii
Lucifer akatumia uhuru wake aliopewa na Mungu,kutokutii,akaasi.
Mungu akampa,nafasi ya kutubu makosa yake,lakini hakufanya hivyo
Mwisho akafukuzwa.
Huwezi kumlaumu Mungu,kwanini alimuacha Lucifer atende dhambi.Huo ulikuwa ni uchaguzi wake yeye mwenyewe[Lucifer]
Ni sawa na kumlaumu mzazi,"hivi wewe kwanini mwanao ni Jambazi,teja,au mwizi
Si kosa la mzazi,ni kosa la mtoto!