projectman
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 349
- 486
kama ujawai ona bandama zako lakini unaamini unazo! inakuwaje humuamini Mungu! au unafikili kila kitu lazima ukione! ndio uamini!?ikiwa huamini uwepo wa Mungu kwa kuwa hujamwona basi huna akili kwa sababu hujawahi kuuona ubongo wala wakili yako mwenyewe
Nlitaka kusema kitu ila ngoja niache kwanza. Hivi kweli mtu unashindwa kutafuta ukweli, unashikilia uliokaririshwa kutoka kwenye vitabu ambavyo ni manipulated. Mnatia huruma sana. Unavyoelezea utadhani ulikuwepo eti........Mungu hakumuumba shetani,wala hakuumba Dhambi
Mungu alimuumba Malaika mwenye uhuru wa kuchagua na kufanya maamuzi
[Freewill]
Malaika,kama tulivyo sisi,wana uhuru wa kutii au kutotii
Lucifer akatumia uhuru wake aliopewa na Mungu,kutokutii,akaasi.
Mungu akampa,nafasi ya kutubu makosa yake,lakini hakufanya hivyo
Mwisho akafukuzwa.
Huwezi kumlaumu Mungu,kwanini alimuacha Lucifer atende dhambi.Huo ulikuwa ni uchaguzi wake yeye mwenyewe[Lucifer]
Ni sawa na kumlaumu mzazi,"hivi wewe kwanini mwanao ni Jambazi,teja,au mwizi
Si kosa la mzazi,ni kosa la mtoto!
Mbona jibu la swali lako lipo kwenye mada yako Mish?Ahsante chief,
Kuhusu Yesu kuwa mweusi,kuna uzi wa mdau fulani niliona anaelezea hicho kitu
Sasa ni lini hili tukio litatokea,na kwa malengo yapi?
Je unaamini kuna miungu?ikiwa huamini uwepo wa Mungu kwa kuwa hujamwona basi huna akili kwa sababu hujawahi kuuona ubongo wala wakili yako mwenyewe
Wewe umepumbazwa na dini......wengi wamekufa wakimgoja.Yesu anakuja jamanii msichoke kudumu katika njia yake!
Kweli mkuu yani watu wazima walio na mandevu wnasadiki wasichokiona, bibilia kama ninavyojua ni kitabu kilichoandikwa karne ya 18. Dini ilizaliwa wakati Tapeli wakwanza alipatana na Mjinga miaka maelfu yaliopita.Nlitaka kusema kitu ila ngoja niache kwanza. Hivi kweli mtu unashindwa kutafuta ukweli, unashikilia uliokaririshwa kutoka kwenye vitabu ambavyo ni manipulated. Mnatia huruma sana. Unavyoelezea utadhani ulikuwepo eti........
Naomba niunganishwe kwnye hilo group la Jamii intelligence namba yangu ni 0755167200Hiyo hata kwenye group ya wasap ya jamiiintelligence tuliwahi kuijadili
sawa basi tusubili na ayo maneno yako ipo siku yatasibitika! lakini Mungu akuokoe!na akusaidie jehanamu sio mali pazuri!Wewe umepumbazwa na dini......wengi wamekufa wakimgoja.
Falcon hilo group ka kweli lipo naombeni mni add nna mengi sana ya kushare nanyi kwa mimi ni mbobevu sana wa masuala ya intelligence agencyHiyo hata kwenye group ya wasap ya jamiiintelligence tuliwahi kuijadili
Hili ndo swali linalokufanya uamin hakuna mungu?Kwasababu uwezo unaoongelewa juu yake ni tofauti na uhalisia uliopo. Kwa mfano mnasema yeye ndo muweza wa yote. Sasa jiulize kama yeye ni muweza wa yote. Je, uwepo wa shetani ni mpango wake?
Swali rahisi una uhakika gani kuwa wewe ni wewe ,au prove kuwa huoti unachokifanya sasa hivi?Kweli mkuu yani watu wazima walio na mandevu wnasadiki wasichokiona, bibilia kama ninavyojua ni kitabu kilichoandikwa karne ya 18. Dini ilizaliwa wakati Tapeli wakwanza alipatana na Mjinga miaka maelfu yaliopita.
kwani ushawahi fika jahanam?sawa basi tusubili na ayo maneno yako ipo siku yatasibitika! lakini Mungu akuokoe!na akusaidie jehanamu sio mali pazuri!
Sina uhakika lakini afathali ndoto yangu kuliko ya wengineSwali rahisi una uhakika gani kuwa wewe ni wewe ,au prove kuwa huoti unachokifanya sasa hivi?
Kama huna uhakika ,ina wezekana hao wanaoamini kitabu kilchoandikwa miaka ...hiyo uliyoitaja wakawa sahihi kuliko wewe ,kama hujui watu huishi kwa imani ndio maana unaamini wewe ni wewe ingawa ukikokotoa kwa juu utagundua hata unachodhani unajua kuwa hujui kuwa hujui kwamba hujui kuwa hujui hujui hujui.......................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................Sina uhakika lakini afathali ndoto yangu kuliko ya wengine
hahaha kweli mkuu lakini kuna kitu inaitwa logic which is still logic hata kwa ndoto ama vipi?Kama huna uhakika ,ina wezekana hao wanaoamini kitabu kilchoandikwa miaka ...hiyo uliyoitaja wakawa sahihi kuliko wewe ,kama hujui watu huishi kwa imani ndio maana unaamini wewe ni wewe ingawa ukikokotoa kwa juu utagundua hata unachodhani unajua kuwa hujui kuwa hujui kwamba hujui kuwa hujui hujui hujui.......................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
unafikili kila kitu mpaka ufike? ndio uamini! vitu vingine vipo ivyo japo kuwa ujafika bado! wewe ni nchi ngapi ujafika lakini zipo! theory ndogo sana!kwani ushawahi fika jahanam?
I wish tungekuwa na uwezo wa ku-explain kila kitu na logic supported by analytical data--the problem is we cant and we wont kwa sababu hata uwezo tulio nao ni illussion hatuna hata uwezo wa kuongeza urefu wa kucha zetu.hahaha kweli mkuu lakini kuna kitu inaitwa logic which is still logic hata kwa ndoto ama vipi?
Mwambie mkina apunguze cheche heheheheYeyote yule anaetaka kuwa added whatsapp kwenye hilo group letu la jamii intelligence unipe namba yake pm au nitext hapa 0753279369. "By Falcon assistant" [emoji4] Asanteni
Nijibu hilo swali mkuu. Je uwezo wa shetani ni mpango wa mungu au ni kufeli kwa mungu? Usijibu kwa mazoea kwani huwa halijibikiHili ndo swali linalokufanya uamin hakuna mungu?