Fake Blackberry Detection

Fake Blackberry Detection

Bonyeza *#06# then kuna digits 15 zinazoanzia na namba 35 angalia kati namba ya saba na nane zinatakiwa ziwe 00

Namba ya saba na nane siyo lazima iwe 00, inaweza kuwa 01 au 02 so that is not the way to recognize genuine blackberry.

Blackberry in features za ziada kama blackberry messenger, fake ones hazina. Vilevile mifuko ya blackberry inaweza kutumika kulock simu unapoiweka kwenye mfuko. Blackberry fake mifuko yake haiwezi kuilock.

battery ya blackberry original inakuwa imeandikwa Blackberry wakati fake one hazina.

Ndio maana nikasema namba ya saba na nane iwe 00 ikiwa 01 au 02 or any other number that's not original! 01 na 02 means imetengenezwa other places under licence. Za kichina namba ziko tofauti.
Ikitengenezwa Malaysia kwa mfano, under license, kwa nini unasema sio original?

Hiyo inaweza kuwa ni namba zinazotofautisha product zilizotolewa na licensed importer/exporter na zile za manufacturer, or something of the sort.
 
mkuu hapana kuwa hii test inatumika kwa nokia tu.Mimi nina blackberry yangu yenye nembo kabisa ya vodafone nimebonyeza hizo namba kama alivoelekeza mchangiaji wa kwanza na nikweli zimetoa hiyo indication.

Pia kwa nokia original lazima ianzie na 35 na kwa blackberry lazima ianza na IMEI:010194.00.575622.5 hii ni kwa ya kwangu.

Angalia kama ina PIN. Kila Blackberry ina unique 6 digits PIN ambayo ndio inatumika katika kuunganishwa na carrier katika Blackberry Internet Service. Fake ones hazina hii kitu.

PS: BlackPerry za China zina lines mbili mbili...dnt go for that crap!

PIN ni 6 digits? I see 8 digits.
Au kati ya hizo 8, 6 ndiyo unique?

Chaku hebu tizama yako kama ina PIN number, maana naona IMEI kwenye BB yako inaanza na namba tofauti na 35.

PIN utaiona kwenye OPTIONS -- Status
 
Alaf hii ina betri ya ziada.

Mbonea,
Nini kingine kito tofauti kwenye hizo simu? (I hope you have access to it).
Angalia post namba 8 (blackberry messenger, battery)
 
NOKIA ni India, China, Fin land, Germany n USA
 
PIN ni 6 digits? I see 8 digits.
Au kati ya hizo 8, 6 ndiyo unique?

Chaku hebu tizama yako kama ina PIN number, maana naona IMEI kwenye BB yako inaanza na namba tofauti na 35.

PIN utaiona kwenye OPTIONS -- Status

ndiyo ina PIN: 201A9A86.

IMEI inayoanza na 35 ni kwa simu zenye unasaba na Nokia tu wala kwa simu zingine mkuu
 
Wakuu hawa wachina watatumaliza na vitu vyao fake,but kingine ni sisi wenyewe tunafanya soko la vitu vya China liwe juu,kwani tuna kawaida ya kupenda vitu vizuri wakati hatuna uwezo na matokeo yake tunakimbilia vya bei ndogo ambavyo ni fake!!!
 
Reading through this thread one can easily see how hard/big a problem defeating these fake products will be.
 
Utajuaje sio za China?

Hilo ndio tatizo watu wanajaribu kutatua hapa.
Jamani hapa naona kuna tatizo moja la uelewa. Tunazungumzia fake products au tunazungumzia bidhaa iliyotegenezwa china. Does it mean kila kinachotoka china ni fake? Fake inaweza kutengenezwa popote. China kuna bidhaa genuine na pia fake zipo. Tatizo ni wafanyabiashara wetu na serikali yetu. Mbona nchi za wnzetu bidhaa bora za china zipo inakuwaje hapa tunaletewa feki. Hamtakiwi kuwalaumu wachina. Tunaojimaliza ni sisi wenyewe. Kama mfanyabiashara ana nia nzuri hawezi kwenda kununua hizo bidhaa feki. China zipo feki na original na zinajuilikana zinapopatikana. Wafanyabiashara wetu huwa wanaopt kununua zile ambazo wanaona ni bei poa na wakati wananunua huwa wanjua kabisa
Ni standard ya chini. Na zikifika nchini zinaingia tu bila wasiwasi. Pia naomba tuondoe mentality kwamba bidhaa origiginal ni ile ya mzungu tu. Je benz inayotengenezwa sa under licence ni feki. Kwa hiyo nokia wakiwa na kiwanda china bidhaa z*o ni feki?
 
Jamani hapa naona kuna tatizo moja la uelewa. Tunazungumzia fake products au tunazungumzia bidhaa iliyotegenezwa china. Does it mean kila kinachotoka china ni fake? Fake inaweza kutengenezwa popote. China kuna bidhaa genuine na pia fake zipo. Tatizo ni wafanyabiashara wetu na serikali yetu. Mbona nchi za wnzetu bidhaa bora za china zipo inakuwaje hapa tunaletewa feki. Hamtakiwi kuwalaumu wachina. Tunaojimaliza ni sisi wenyewe. Kama mfanyabiashara ana nia nzuri hawezi kwenda kununua hizo bidhaa feki. China zipo feki na original na zinajuilikana zinapopatikana. Wafanyabiashara wetu huwa wanaopt kununua zile ambazo wanaona ni bei poa na wakati wananunua huwa wanjua kabisa
Ni standard ya chini. Na zikifika nchini zinaingia tu bila wasiwasi. Pia naomba tuondoe mentality kwamba bidhaa origiginal ni ile ya mzungu tu. Je benz inayotengenezwa sa under licence ni feki. Kwa hiyo nokia wakiwa na kiwanda china bidhaa z*o ni feki?

exactly my point!yani matakataka tuyafate wenyewe kwa be mbwembwe.tukayanunue kwa bei za "too good to be true"

then yakituchachia tuanzae kupayuka!oh china wanatuletea bidhaa mbovu.
WANATULETEA AU TUNAZIFATA WENYEWE?

sasa kama TUNAZIFATA KOSA LA NANI?LETU AU WACHINA?mi nije shambani kwako nikusanye mazao mabovu.yakiniletea matatizo nianze kukulaumu wewe mwenye shamba.doesn't make sense.

haya matakataka tunayouziwa AFRICA ni either reject,soon to be recycled au mistaken commodities.others are petty projects by VERY poor wajasiriamali wa CHINA.waliostuka africa kuna watu wajinga kuwashinda wao.

tunatakiwa tuache kwenda china kununua hayo mabidhaa mabovu.tuwaulize US wananunuaje?tuulize EU wanafanyaje?

maana wao almost kila watumiacho sasa ni MADE IN CHINA.
 
Ni kweli Mkuu. Namba zangu za kati ni 02. Labda tupate maekezo ya ziada kuhusu fake Blackberry units kwani huu ni wakati mzuri sana wa kulijua hilo maana simu nyingi fake zimeingia mitaani.
 
Wadau naomba mnitajie sifa kadhaa za kugundua BLACKBERRY fake...

Kuna msela kaja na kadhaa kutoka UK na anaziuza rejareja! Anataka kuniuzia ila nahtaji kujua nitagunduaje ni orijino?

Nisaidieni...

AUTO INTERNET CONNECTION
Ma-cim yote fake hayana uwezo wa kupokea settings za internet automatically hata kama ukituma IMEI kwa operator wako. IMEI ni namba inayoonekana ukibonyeza *#06# halafu send. Kwa hiyo cha kufanya, chukua line yako ya tigo (au mtandao wowote kama unajua namba ya huduma ya internet) weka kwenye handset, sehemu ya message andika WAP acha nafasi, andika namba nane za kwanza za IMEI halafu tuma hiyo sms kwenda namba 500. Utajibiwa baada ya muda mfupi kama cim hiyo inaweza kupokea settings za internet automatically. Otherwise ni feki, kwani ikiweza basi kila kitu itafanya kazi kama original kwani huo ndo mtihani mgumu kwa mtengenezaji. By the way, nilishauziwa feki kama wiki 2 zilizopita na ninayo, kama utaamua kununua feki ntakupa kwa bei ndogo. Inabidi namimi nimwokote mtu bwana, ala! Yaani niibiwe mimi tu!!!! BUYER BE WARE!
 
Ha ha ha, aksante kwa Info. ustaadh.
Mzee labda ukiiconnecthiyo simu kwenye mtandao visit hii site m.getjar.com ni site inatoa software mbali mbali kwa ajili ya simu tofauti na huwa ina detect aina ya simu uliyonayo. Na itakuonyesha kama ni blackberry au ni kitu kingine famba. Jaribu ku download software kama nimbuz. Na cheki kama inafanya kazi. Pia kuna software kama blackberry messenger na blackberry browser lazima ziwemo kwenye hiyo simu.
 
Hiyo website ingekuwa China nisingeingiza IMEI ya simu yangu. Inaonekana wako Sweden.
(I love Firefox browser)

Ndugu what's with you and CHINA?kivuko posted a very useful site to help checkout IMEIs and the only thing you cared about was,is it from china or not!duh...,inachosha ndugu.try be objective.

kwa taarifa tu,most Chinese-English websites are not hosted in china.there the law is nothing compared to what EUROPE/US have.they catch you doing fishy stuffs you go to jail,no case,just jail with hard work!

all the fishy Chinese sites i know are not hosted in china,they are in fact hosted in the US and EUROPE.

Another reason for not to host websites in china for international Audience is the fact that all sites have to be channeled through the central government firewall...,they call it the Great Firewall of China which randomly identifies and blocks bad websites,outbound or inbound.so no dumb spammer would put his website there.

FYI,eastern Europe and former USSR is the heaven for all SPAM,piracy websites,since there no one cares.and money is the most important
 
Back
Top Bottom