LazyDog
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 2,473
- 199
Bonyeza *#06# then kuna digits 15 zinazoanzia na namba 35 angalia kati namba ya saba na nane zinatakiwa ziwe 00
Namba ya saba na nane siyo lazima iwe 00, inaweza kuwa 01 au 02 so that is not the way to recognize genuine blackberry.
Blackberry in features za ziada kama blackberry messenger, fake ones hazina. Vilevile mifuko ya blackberry inaweza kutumika kulock simu unapoiweka kwenye mfuko. Blackberry fake mifuko yake haiwezi kuilock.
battery ya blackberry original inakuwa imeandikwa Blackberry wakati fake one hazina.
Ndio maana nikasema namba ya saba na nane iwe 00 ikiwa 01 au 02 or any other number that's not original! 01 na 02 means imetengenezwa other places under licence. Za kichina namba ziko tofauti.
Hiyo inaweza kuwa ni namba zinazotofautisha product zilizotolewa na licensed importer/exporter na zile za manufacturer, or something of the sort.