mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,292
- 798
Wewe uko wapi hapo?JF kila mtu msomi
JF kila akili nyingi
JF kila mtu usalama
JF kila mtu ana Nyumba
"" """" """" """ Gari
""""" """"" "" alichelew ndege
Ongeza na vingine.....
Umerudi mummyKasoro mm tu
Umerudi mummy
Babu alikalia viti virefu baada ya kazi, ingekuwa hatari kwa usalama wetu wote.Hahahaha kwa nn msingenifata toka jana
Yawezekn unashinda jukwaa la mapenzi na uhusianoNadhani ni the way unavyochukulia life tu, Hakuna kingine, hao wote unaosema sijawahi kuwasikia pamoja na kwamba nimekaa hapa Kwa miaka kumi na miezi mitano sasa