Fake life JF

Fake life JF

Nadhani ni the way unavyochukulia life tu, Hakuna kingine, hao wote unaosema sijawahi kuwasikia pamoja na kwamba nimekaa hapa Kwa miaka kumi na miezi mitano sasa
 
Na ww mjuaji umejuaji watu wote wapo hivyo??
Kwan kuwa msomi unaliitafsirije hilo neno as longer as mtu anaweza kusoma na kuandika ni msomi sa sijui unachoshangaa nini
 
Unautaka uhalisia wa maisha ya wana JF ili iweje?

Ondoa boriti kwako ndo umtoe na mwenzio.

Mahaba mia mia.
 
Nadhani ni the way unavyochukulia life tu, Hakuna kingine, hao wote unaosema sijawahi kuwasikia pamoja na kwamba nimekaa hapa Kwa miaka kumi na miezi mitano sasa
Yawezekn unashinda jukwaa la mapenzi na uhusiano
 
Back
Top Bottom