Fake life JF

Fake life JF

Kila anachosema mtu ni matokea ya utafiti hata kama ni simple observation itabatizwa jina la utafiti.
 
Mbona mie sikuwahi jidai Kwa hayo yote!!Me masikini,ndo kwanza nimepata na natafuta kazi ili maisha yangu yawe vzr.Wakuu naomba mwenye connection za job please anisaidie
 
JF kila mtu msomi
JF kila akili nyingi
JF kila mtu usalama
JF kila mtu ana Nyumba
"" """" """" """ Gari
""""" """"" "" alichelew ndege

Ongeza na vingine.....
JF kila dem mzuri
JF mshirikina ni mshana tu
JF kila dem msafi
JF kila demu hadangi,anaishi maisha yake
JF kila mtu anakula vizuri
JF kila mtu hua anaenda ofisi za wizara
JF kila mtu kastaarabika
JF kila dem anatumia wine
JF kila dem ameshagawa papuchi kwa wanaume wengi
 
JF kila mtu msomi
JF kila akili nyingi
JF kila mtu usalama
JF kila mtu ana Nyumba
"" """" """" """ Gari
""""" """"" "" alichelew ndege

Ongeza na vingine.....

Umaskini ukiingia kichwani ndo haya yanatokea.

Kwa hiyo wewe unaona tabu watu kuwa wasomi? Kuwa na gari? Etc
 
Back
Top Bottom