Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kuna watu wakishafika kwenye miundo mbinu mizuri wanaona wamefika kwenye mti wa pesa na mafanikio teyari.
Mfano hawa vijana wanaokataa kuuza mitumba na kutembeza sigara Tanzania wanakimbilia South Africa kwenda kushinda nje kuuza sweet.
Mwaka jana kuna jamaa yangu anaishi USA sitapenda kutaja eneo.
Ila post anazoweka facebook na Instagram kwa mwenye rohoo ndogo unasema jamaa maisha kayapatia sana.
Ukimuuliza vipi 😄 tuna fanyeje kama unaweza kupata vitu hivi tukutumie pesa vije bongo.Hapo kinaanza kiswahili kingi sana.
Jana kuna mwana mwenzetu alikwenda huko si kakumbana naye.
Jamaa maisha yake ni mabovu sana .Shida ukijichanganya ukituma pesa umekwisha.
Kuweni wa kweli haya ni maisha.