Elias Patrick, mgunduzi wa Kitonga AI amesema mara nyingi taarifa zisizo sahihi hutrend kuliko taarifa sahihi kwa kuwa fake news zinashika attention ya mtu.
Amesema hayo katika CSO week ambapo alikuwa session ya kuelezea jinsi AI inafanya kazi. Katika kipindi hiko amesema suala la AI linafanyakazi sawa na jinsi akili ya mwanadamu inafanya kazi.