Falcuties za HGK

Falcuties za HGK

Wanajf nisaidien fulcuties za HGK combination UDOM /UDSM coz nataka fanya application.

Mimi nafahamu hizi:

1. Faculty of Arts and Social Science,

2. Faculty of Humaninities,

3. Faculty of Law,

4. Faculty of Education

Lakini no. 1 na 2 nahisi kama mojawapo ilishavunjwa ila sina tarifa sahihi, subiri waje wenye data kamili watatuwekea mambo sawa.
 
Mbona UDSM au UDOM hakuna kitu kinaitwa "fulcuties"!
Kweli madhara ya kukosa mtaala wa elimu tz ni makubwa!
 
dogo kwa sasa chuo cha kusoma ni UDOM sasa nashangaa kwanini hujafanya uamuzi sahihi mpaka sasa,usibabaike na mji njoo UDOM upate elimu iliyo bora fanya uamuzi haraka sana.sitanii najali sana future yako
 
Wanajf nisaidien fulcuties za HGK combination UDOM /UDSM coz nataka fanya application.

Kwanza kabisa kwa muundo wa vyuo sasa hv hayo mambo ya faculty hayapo tena kwa sasa kuna Colleges tu. Pili huwezi kufanya application kwenye college kwani College ina mambo mengi sana wewe unatakiwa kuuliza Course zipi unaweza kuapply kwa nature ya masomo yako.

For Udsm unaweza kuapply Mambo ya Education, Kiswahili na kozi nyingine kibao tafuta kitabu cha application ya Vyuo kwenye Website ya Tume ya Vyuo Vikuu (www.tcu.go.tz). Udom the same kuna kozi nyingi pia

NB: Kwa UDSM unatakiwa uwe na Point Nyingi sana kwani competition yake ni kubwa sana kwa masomo ya arts.
 
Back
Top Bottom