Fally Ipupa- aje Simba day

Fally Ipupa- aje Simba day

Simchezo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
460
Reaction score
373
Napendekeza Kwa uongozi wa Simba Sc ikiwezekana mwanamuziki Fally Ipupa- wa Congo aliye kwenye viwango vya juu atumbuize siku hiyo.

Yanga wamekuwa wakimleta Koffi Olomide.
 
Nakuunga mkono mkuu

Ila tatizo la Simba sijui kwa nini tuna viongozi wa wengi wasiojitambua.
 
Napendekeza Kwa uongozi wa Simba Sc ikiwezekana mwanamuziki Fally Ipupa- wa Congo aliye kwenye viwango vya juu atumbuize siku hiyo.

Yanga wamekuwa wakimleta Koffi Olomide.
Olomide ndo unyama
 
Napendekeza Kwa uongozi wa Simba Sc ikiwezekana mwanamuziki Fally Ipupa- wa Congo aliye kwenye viwango vya juu atumbuize siku hiyo.

Yanga wamekuwa wakimleta Koffi Olomide.
Kwanini msimuite Domo?
 
Leteni jeneza ili mpate pa kutunzia Sanda zenu hasa ile nyeupe nzuri sana.
 
Back
Top Bottom