Miaka mingapi tangu ifanyike imepita....?Yani leo hii ndio imekuwa topic wakati Kingkiba kafanya collabo na Fally pupa tangu 2014 tunasubiria tu mtoe utumbo wenu then sisi tutoe ili mjifunze namna ya mziki ulivyo, hahahaha team promo mna kazi sana.
Nashukuru umetambua ally bado mtt ansitaji sapot ya diamond atoke,vipofu waliotolewa kafara ya akili na kiba watakupondaHawa wote ni watanzania.sasa sielewi kwann tunaweka u diamond na u ally kiba?kwann tusiwape support pale mmoja anapokwama ili wazidi kuitangaza nchi yetu kuliko kufurahi wanapofeli.lin tutabadilika?ikibidi diamond ampe connection pia ally.
#umojaninguvu
Duuhhh itakuwa king kibla kaisahau hiyo track porini wakat analinda tembo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani leo hii ndio imekuwa topic wakati Kingkiba kafanya collabo na Fally pupa tangu 2014 tunasubiria tu mtoe utumbo wenu then sisi tutoe ili mjifunze namna ya mziki ulivyo, hahahaha team promo mna kazi sana.
We huoni raha tunavyobishana ?![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hawa wote ni watanzania.sasa sielewi kwann tunaweka u diamond na u ally kiba?kwann tusiwape support pale mmoja anapokwama ili wazidi kuitangaza nchi yetu kuliko kufurahi wanapofeli.lin tutabadilika?ikibidi diamond ampe connection pia ally.
#umojaninguvu
wechizi kweli eti tangu 2014 af haitoi anamtegea D atoe kwanza ahahahaha kweli mfa maji haishi kutapatapaYani leo hii ndio imekuwa topic wakati Kingkiba kafanya collabo na Fally pupa tangu 2014 tunasubiria tu mtoe utumbo wenu then sisi tutoe ili mjifunze namna ya mziki ulivyo, hahahaha team promo mna kazi sana.
kwani kuna ajabu gani chibu kutembelewa na hao watu? acheni kujidharau nyie.........Katembelewa au kawatembelea? Odinga kamtembelea Magufuli