Fally Ipupa amshirikisha Diamond Platnumz kwenye wimbo wake mpya

Masikini hana nguo mpaka kavaa matambala yaliyochanika... mpaka huruma...
 
Hawa wote ni watanzania.sasa sielewi kwann tunaweka u diamond na u ally kiba?kwann tusiwape support pale mmoja anapokwama ili wazidi kuitangaza nchi yetu kuliko kufurahi wanapofeli.lin tutabadilika?ikibidi diamond ampe connection pia ally.
#umojaninguvu
 
Yani leo hii ndio imekuwa topic wakati Kingkiba kafanya collabo na Fally pupa tangu 2014 tunasubiria tu mtoe utumbo wenu then sisi tutoe ili mjifunze namna ya mziki ulivyo, hahahaha team promo mna kazi sana.
Miaka mingapi tangu ifanyike imepita....?
 
Hawa wote ni watanzania.sasa sielewi kwann tunaweka u diamond na u ally kiba?kwann tusiwape support pale mmoja anapokwama ili wazidi kuitangaza nchi yetu kuliko kufurahi wanapofeli.lin tutabadilika?ikibidi diamond ampe connection pia ally.
#umojaninguvu
Nashukuru umetambua ally bado mtt ansitaji sapot ya diamond atoke,vipofu waliotolewa kafara ya akili na kiba watakuponda
 
Yani leo hii ndio imekuwa topic wakati Kingkiba kafanya collabo na Fally pupa tangu 2014 tunasubiria tu mtoe utumbo wenu then sisi tutoe ili mjifunze namna ya mziki ulivyo, hahahaha team promo mna kazi sana.
Duuhhh itakuwa king kibla kaisahau hiyo track porini wakat analinda tembo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hawa wote ni watanzania.sasa sielewi kwann tunaweka u diamond na u ally kiba?kwann tusiwape support pale mmoja anapokwama ili wazidi kuitangaza nchi yetu kuliko kufurahi wanapofeli.lin tutabadilika?ikibidi diamond ampe connection pia ally.
#umojaninguvu
We huoni raha tunavyobishana ?![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ali Kiba alifanya collabo na R. Kelly.
 
King of le sapeur pappa wemba amtembelee Diamond?Fally ana studio Paris na ndiko walikutana.Awilo yawezekana katambulishwa ama kuitwa kukutanishwa nae. hanaga noma.
Soko la muziki
 
Yani leo hii ndio imekuwa topic wakati Kingkiba kafanya collabo na Fally pupa tangu 2014 tunasubiria tu mtoe utumbo wenu then sisi tutoe ili mjifunze namna ya mziki ulivyo, hahahaha team promo mna kazi sana.
wechizi kweli eti tangu 2014 af haitoi anamtegea D atoe kwanza ahahahaha kweli mfa maji haishi kutapatapa
 
Back
Top Bottom