Falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa nguzo muhimu katika kujenga Tanzania

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
MATUNDA YA 4R ZA RAIS SAMIA, WAKULIMA NA WAFUGAJI MAMBO SHWARI

Falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa nguzo muhimu katika kujenga Tanzania yenye misingi imara ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. 4R zinawakilisha Maridhiano (Reconciliation), Uthabiti (Resilience), Mageuzi (Reform), na Ujenzi Upya (Rebuild) – dhana ambazo zimepata nguvu chini ya uongozi wake.

Maridhiano ni kipengele cha msingi katika falsafa hii. Kupitia jitihada zake za kukuza umoja wa kitaifa, Rais Samia ameweza kuongoza mchakato wa upatanisho kati ya makundi mbalimbali yenye mgongano wa maslahi, kama vile wafugaji na wakulima. Migogoro ya ardhi na matumizi ya rasilimali ambayo ilidumu kwa miaka mingi imeanza kupungua kwa kasi, kwa sababu jamii hizi sasa zimehamasika kuishi kwa amani na kushirikiana.

Falsafa ya 4R ya Rais Samia imezaa matunda kwakuleta utulivu wa kijamii na maendeleo ambayo yamekuwa kielelezo cha mabadiliko ya kweli katika taifa.
 
I can not resist to say Bladifaken of you! Sorry for this uncalled-for response!
 
Hivi mnalipwa shilingi ngapi!?,una watoto wanaokutegemea au familia?!?, 4R zinakusaidiaje na familia yako!?,Kuna wakati mnakuwa machawa hadi mnageuka WAPUMBAVU. Bora kukaa kimya kuficha ujinga wako. Asubuhi asubuhi mtu mwenye akili timamu unaweza kuamka unasifia 4R!??.., nyie ndo mnasababisha tubaguliwe na wazungu tuonekane wote hatuna akili.
 
HAWA WANA MATOPE KICHWANI NA SI UBONGO AU KAMA UBONGO UPO BASI UKO KWENYE RECTUM

1729319176100.png
 
MATUNDA YA 4R ZA RAIS SAMIA, WAKULIMA NA WAFUGAJI MAMBO SHWARI

Falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa nguzo muhimu katika kujenga Tanzania yenye misingi imara ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. 4R zinawakilisha Maridhiano (Reconciliation), Uthabiti (Resilience), Mageuzi (Reform), na Ujenzi Upya (Rebuild) – dhana ambazo zimepata nguvu chini ya uongozi wake.

Maridhiano ni kipengele cha msingi katika falsafa hii. Kupitia jitihada zake za kukuza umoja wa kitaifa, Rais Samia ameweza kuongoza mchakato wa upatanisho kati ya makundi mbalimbali yenye mgongano wa maslahi, kama vile wafugaji na wakulima. Migogoro ya ardhi na matumizi ya rasilimali ambayo ilidumu kwa miaka mingi imeanza kupungua kwa kasi, kwa sababu jamii hizi sasa zimehamasika kuishi kwa amani na kushirikiana.

Falsafa ya 4R ya Rais Samia imezaa matunda kwakuleta utulivu wa kijamii na maendeleo ambayo yamekuwa kielelezo cha mabadiliko ya kweli katika taifa.
View attachment 3129479

Sio bure, umerogwa wewe!
 
Ukisifu mtu kijinga na ukapingwa na wengi hiyo ni dalili ya uchawi achilia mbali uchawa
 
Back
Top Bottom