Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
[h=6]{1}Usikubali mtu usiyemjua kuzoeana nae ghafla.
{2}Unapoitwa ghafla usigeuke, puuza kama husikii ili kupima sauti ni yanani?
{3}usipendelee kutumia njia moja, badilisha njia nyengine ili usiwe maarufu kwa njia fulani.
{4}Popote utakapo kwenda,fanikisha shida yako iliyokupeleka.
{5}Epuka kuchunguza kitu kisicho kuhusu na epuka kulaumu hadharani.
{6}Jitahidi kumuelewa mtu tabia yake.
{7}Mjali mwezako tunza siri na jitahidi kutimiza ahadi.
{8}Ukiaminiwa basi na wewe ujiaminishe, usiwe na tabia ya kuwazarau watu.
{9}Ridhika na ulicho nacho. have a nice day to y'all[/h]