Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Wakuu
Nimejaribu kufikiria baadhi ya falsafa za Yesu wa Nazareth katika uwanja wa Siasa, Nimegundua ni ngumu mno, na hazitekelezeki kwa wengi wetu.
Embu fikiria falsafa hii
" Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi" Yesu wa Galilaya
" Akunyang'anyaye mshipi, muachie na joho" Yesu wa Bethlehemu
" Akupigaye shavu la kushoto, mgeuzie na lakulia" Yesu wa Nazareth
"Baba wasamehe, kwa maana hawajui walitendalo" Yesu simba wa Yuda.
Yesu Falsafa zake ni ngumu sana kutekelezeka hasa katika uwanja wa vita, uwanja wa siasa.
😀 😀 😀 😀 😀 😀
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa, Dodoma