False History(Historia Bandia)

Iliongezewa kwenye kalenda ipi?
Haikuongezwa mwezi wowote. Swali lilirejelea masahihisho katika kalenda ya Juliasi iliyokuwa kawaida Ulaya. Baada ya masahihisho ilitokea kalenda ya Gregori iliyokuwa kalenda sanifu ya kisasa.
 
Mama robi mzima?
 
Hapo kwenye mwaka kuwa na miezi saba hata mimi naona kuna mashiko.
unakuta wanasema katika biblia mtu aliishi miaka 963 serious? kumbe mwaka ilikua ni siku 30 enzi hizo unakuta!


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…