Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Haikuongezwa mwezi wowote. Swali lilirejelea masahihisho katika kalenda ya Juliasi iliyokuwa kawaida Ulaya. Baada ya masahihisho ilitokea kalenda ya Gregori iliyokuwa kalenda sanifu ya kisasa.Iliongezewa kwenye kalenda ipi?