DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
EXCLUSIVE NEWS zinanifikia mezani kwangu…
Jana siku ya X-Mass kulikua na Hafla Nyumbani kwa FAM…
Influencers wakubwa akiwemo Yule Jamaa Madenge wa EFM walialikwa… pamoja na Wanasiasa kadhaaa…
Tutegemee kuanzia January kuchafuka kwa Mitandanoi watu wapo kimaslahi Binafsi!
FAM atasifiwa kwa kila namna- ujue watu ndio wapo kazini hivyo
Pichani ni Jamaa wa EFM akiwa na Mtoto wa FAM- JAMES MBOWE- Nyumban kwao!
Lakini Hafla ilifana saaana…
Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu walifika… na pia influencers kuhakikisha Hasira za wana Online zinakua neautralized!
Kuna timu imeandaliwa ku CRUSH kila AGENDA ya Lissu hasa ya Ufisadi na Ukomo wa madaraka…
itaongozwa na Kikatuni /NTOBI/Boni mayai/MMM/Yeriko na baadhi wenye followers wengi ambao kazi ya kuwapata na kuwaunganisha amepewa Jamaa Wa EFM Aka Madenge..