FAM aitisha Hafla ya Siri Nyumbani kwake Akialika Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Na Kuwaahidi Vinono

Tuwasikilize wadhamini wanasemaje
 
Huo utafiti uliufanya lini na wapi ?.Siku mtu akishindwa usije na sababu za kijinga.
 
Hafla ya siri halafu wewe umeijua ?.
 
Cha ajabu ni nini? Si ametangaza kuwa anagombea? Mgombea si anatakiwa kufanya kampeni?

Amandla...
 
Huo utafiti uliufanya lini na wapi ?.Siku mtu akishindwa usije na sababu za kijinga.
PITIa Hapa..
Humu kuna Mikoa Miwili NJOMBE na Shinyanga Japo Mikoa Iliyotsngaza Hadharani Kumuungs Lissu Si chinu ys Mikos 7 ns Wajumbe wake Ikiwemo Dar..

 
Kwani huyu Madenge ndio ameoa bint wa Freeman Mbowe?

Namuona kule X anatamba alikuwa Kwa baba mkwe 😂
🤣🤣🤣
Kule walikuwa wnafanya Changamsha genge tu na Kupoteza Maboya jamaa Ni team FAM na walikuwa wanaandaa Mabomu kwa FAM..
Kwahyi alipotea kwa Muda
 
Mmemkomalia makengeza
 
Picha nyingine za tukio ni hizi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…