FAM aitisha Hafla ya Siri Nyumbani kwake Akialika Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Na Kuwaahidi Vinono

TAL amejenga kwake kweli au ni mkimbizi?
 
LISU ANAPENDA PESA SANA CHAMA AWEZI ACHIA MTU KAMA UYU. 1) KAKATAAA PESA ILI APEWE MIPESA MINGI 2 ANASHKLANI PAMOJA NA KUPEWA AKI ZAKE KADHAA ZA UBUNGE LKN AJAONESHA SHUKLAN YOYOTE KWA MTU ALIESAMINI UKWELI W MADAI YAKE WKT ALISHANJIWA BAHARINI SHUKLAN YAKE NDIO HII ANAMTAJA KAMA MZANZIBAR ANAEUZA RASILIMALI AMWITI RAIS!! KUFANYIWA YOTE AYO ADI KUTEMBELEWA HOSPITAL BADO AMUESHIM KIONGOZI UYU JIULIZE WW LISU ATAKUSHUKULU KWALIPI WW UNAEMPIGANIA LISU ATAKAMA MBOWE AFAI LKN CHAMA AKIWEZI ACHIWA KWA MTU WAINA HII ATAPATIKANA MZALENDO MWENGINE TUTAUNGANA KUMTOA MBOWE 4 ANAONEKANA ANATUMIA KILA FULSA KUISAKAMA SERIKALI IYOIYO JAPO IMEMSAMINI NAWAKUMBUSHA AMETANGAZA YEYE MWENYEWE KUWA ATAISHTAKI TIGO BAADA YA APO SERIKALI ANAONGEA UKU ANAJITAMBA KUWA NAJUA NITALIPWA PESA NYINGI NISHAMWAMBIA MZUNGU WANGU HAANZE KAZI MASWALI IZO PESA ZA SERIKALI ZANANI SIZAWANANCHI NDIO ZINALIPIA UDUMA MBALIMBALI WALIMU MADAKTARI NA MENGINEO MBAYA ZAID UYO UYO LISU AMEDAI ANAWAJUA WABAYA WAKE SASA KWANINI ASIWASHTAKI WAO WENYEWE KWAKUA MATENDO YAO WAMEYAFANYA KINYUME NA MIONGOZO YA KAZI ZAO SHERIA ZETU KATIBA YETU AIJAMPA MTUYOYOTE MWENYE CHEO CHOCHOTE AKI YA KUMTOA MTU ROO KWAIYO YALE YALIOTAKA KUFANYIKA NI UMAFYA KUTOKA KWA MTU BINAFSI SIO MIONGOZO Y SERIKALI SASA KAMA ANATAMAA NA NI MWIZIII WA PESA ZETU WANANCHI KWANN ATAKE KUISHTAKI SERIKALI BADALA YA WAUSIKA BINAFSI. Akuna kinga ya makosa yote ktk nchi yetu nimengemuona japo yupo saai sasa kuwashtaki wabaya wake na ikiwezekana awafilisi sawa lkn pesa za watanzania zamaendelea yetu anataka kuzipola kupitia mahakama!! Wkt yeye yupo uko Ubelgij miaka na miaka sisi waTanzania tupo apa tunasukuma gurudum letu mdogo mdogo leo japo mji unapendezza SGR na mengine atoke uko Ulaya aje achote Azina mipesa akatumie uko Ulaya. Ili mm nililikemea sana toka. Alipoitisha mkutana Wawaandishi Habari tangu nilimchukia nikashikilia ili ili tangu palepale sijukua ata kuwa anampango wowote Wakutaka awe mwenyekiti sipo kisiasa nipo kutetea pesa zetu. Mm nimlipa Kodi. Mnaompigania Lisu mitandaoni ujumbe umewafikia uyo jamaa sio mtu kichwani shuklan aipo kwake utatumika tu lkn akujali ajal yoyote risasi nimevuruga Ubinadam wake, Watanzania kwasasa tumuepuke kumpa majukum japo tusimtenge sisi bado tunauruma nayeye.lkn yeye ayupo kama yule tunzaniae mwangalieni tu anavyopambana kupata uwenyekiti kwa kuwasakama viongozi muimu kwenye chama chake sasa kwa akili ya kawaida kila mtumishi ndani Chadema anamtengeneza awe upande wa mbowe mana anajua Lisu akishinda atatufukuza. Kama pesa ya mama ndio inalipia mishaara yao nawewe unapasa saut iyo pesa unategemea wao watakupenda yani wafanye kazi Bule. Kwaiyo Kimahesabu Lisu ameshapoteza uchaguzi sababu watu Wajikoni mikelele ya Lisu imewafanya Waungane wote. Ata kama baadhi yao walikuwa kimya kimya wanataka kumpigania lkn sasa watamuogopa wataona bola Mzee Mbowe . Awe makin kwenye kauli zake wkt mwengine ajui kuwa anawaunganisha washindani wake.
 
Uyu afai popote ata akishindwa uko kama anataka akimbilie CCM atakiwi kupewa nafasi ya uhongozi wowote zaid wampe ubolozi tu wa Ubelgij akatulie uko. Au wa UN abaki uko uko na famiry yake akija uku kutembeya tu.
 
Huyo anayekwenda ukweni kila Disemba hana influence yoyote kwenye mambo ya kiume kama haya.
Wameshashindwa kabla hawajaanza!
 
Wewe ni mjinga na ulichoandika ni ujinga ujue
 
H Hawataweza ,watakutana na spana size mia,acha wajichanganye
 
Wasichokijua ni kuwa Anguko linakaribia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…