Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ni Freeman Mbowe, Sugu hakuwa na interest ya kuwa mwanasiasa.Sijui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Freeman Mbowe, Sugu hakuwa na interest ya kuwa mwanasiasa.Sijui
TAL amejenga kwake kweli au ni mkimbizi?EXCLUSIVE NEWS zinanifikia mezani kwangu…
Jana siku ya X-Mass kulikua na Hafla Nyumbani kwa FAM…
Influencers wakubwa akiwemo Yule Jamaa Madenge wa EFM walialikwa… pamoja na Wanasiasa kadhaaa…
Tutegemee kuanzia January kuchafuka kwa Mitandanoi watu wapo kimaslahi Binafsi!
FAM atasifiwa kwa kila namna- ujue watu ndio wapo kazini hivyo
Pichani ni Jamaa wa EFM akiwa na Mtoto wa FAM- JAMES MBOWE- Nyumban kwao!
View attachment 3185831
Lakini Hafla ilifana saaana…
Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu walifika… na pia influencers kuhakikisha Hasira za wana Online zinakua neautralized!
Kuna timu imeandaliwa ku CRUSH kila AGENDA ya Lissu hasa ya Ufisadi na Ukomo wa madaraka…
itaongozwa na Kikatuni /NTOBI/Boni mayai/MMM/Yeriko na baadhi wenye followers wengi ambao kazi ya kuwapata na kuwaunganisha amepewa Jamaa Wa EFM Aka Madenge..
View attachment 3185833
LISU ANAPENDA PESA SANA CHAMA AWEZI ACHIA MTU KAMA UYU. 1) KAKATAAA PESA ILI APEWE MIPESA MINGI 2 ANASHKLANI PAMOJA NA KUPEWA AKI ZAKE KADHAA ZA UBUNGE LKN AJAONESHA SHUKLAN YOYOTE KWA MTU ALIESAMINI UKWELI W MADAI YAKE WKT ALISHANJIWA BAHARINI SHUKLAN YAKE NDIO HII ANAMTAJA KAMA MZANZIBAR ANAEUZA RASILIMALI AMWITI RAIS!! KUFANYIWA YOTE AYO ADI KUTEMBELEWA HOSPITAL BADO AMUESHIM KIONGOZI UYU JIULIZE WW LISU ATAKUSHUKULU KWALIPI WW UNAEMPIGANIA LISU ATAKAMA MBOWE AFAI LKN CHAMA AKIWEZI ACHIWA KWA MTU WAINA HII ATAPATIKANA MZALENDO MWENGINE TUTAUNGANA KUMTOA MBOWE 4 ANAONEKANA ANATUMIA KILA FULSA KUISAKAMA SERIKALI IYOIYO JAPO IMEMSAMINI NAWAKUMBUSHA AMETANGAZA YEYE MWENYEWE KUWA ATAISHTAKI TIGO BAADA YA APO SERIKALI ANAONGEA UKU ANAJITAMBA KUWA NAJUA NITALIPWA PESA NYINGI NISHAMWAMBIA MZUNGU WANGU HAANZE KAZI MASWALI IZO PESA ZA SERIKALI ZANANI SIZAWANANCHI NDIO ZINALIPIA UDUMA MBALIMBALI WALIMU MADAKTARI NA MENGINEO MBAYA ZAID UYO UYO LISU AMEDAI ANAWAJUA WABAYA WAKE SASA KWANINI ASIWASHTAKI WAO WENYEWE KWAKUA MATENDO YAO WAMEYAFANYA KINYUME NA MIONGOZO YA KAZI ZAO SHERIA ZETU KATIBA YETU AIJAMPA MTUYOYOTE MWENYE CHEO CHOCHOTE AKI YA KUMTOA MTU ROO KWAIYO YALE YALIOTAKA KUFANYIKA NI UMAFYA KUTOKA KWA MTU BINAFSI SIO MIONGOZO Y SERIKALI SASA KAMA ANATAMAA NA NI MWIZIII WA PESA ZETU WANANCHI KWANN ATAKE KUISHTAKI SERIKALI BADALA YA WAUSIKA BINAFSI. Akuna kinga ya makosa yote ktk nchi yetu nimengemuona japo yupo saai sasa kuwashtaki wabaya wake na ikiwezekana awafilisi sawa lkn pesa za watanzania zamaendelea yetu anataka kuzipola kupitia mahakama!! Wkt yeye yupo uko Ubelgij miaka na miaka sisi waTanzania tupo apa tunasukuma gurudum letu mdogo mdogo leo japo mji unapendezza SGR na mengine atoke uko Ulaya aje achote Azina mipesa akatumie uko Ulaya. Ili mm nililikemea sana toka. Alipoitisha mkutana Wawaandishi Habari tangu nilimchukia nikashikilia ili ili tangu palepale sijukua ata kuwa anampango wowote Wakutaka awe mwenyekiti sipo kisiasa nipo kutetea pesa zetu. Mm nimlipa Kodi. Mnaompigania Lisu mitandaoni ujumbe umewafikia uyo jamaa sio mtu kichwani shuklan aipo kwake utatumika tu lkn akujali ajal yoyote risasi nimevuruga Ubinadam wake, Watanzania kwasasa tumuepuke kumpa majukum japo tusimtenge sisi bado tunauruma nayeye.lkn yeye ayupo kama yule tunzaniae mwangalieni tu anavyopambana kupata uwenyekiti kwa kuwasakama viongozi muimu kwenye chama chake sasa kwa akili ya kawaida kila mtumishi ndani Chadema anamtengeneza awe upande wa mbowe mana anajua Lisu akishinda atatufukuza. Kama pesa ya mama ndio inalipia mishaara yao nawewe unapasa saut iyo pesa unategemea wao watakupenda yani wafanye kazi Bule. Kwaiyo Kimahesabu Lisu ameshapoteza uchaguzi sababu watu Wajikoni mikelele ya Lisu imewafanya Waungane wote. Ata kama baadhi yao walikuwa kimya kimya wanataka kumpigania lkn sasa watamuogopa wataona bola Mzee Mbowe . Awe makin kwenye kauli zake wkt mwengine ajui kuwa anawaunganisha washindani wake.Wa Lisu Wako wengi sana halafu ni watu wenye Akili timamu na Ndo maana Mwwnyekiti ameshaanza Kuogopa..
Maana Wajumbe wa Mikoani karibu wote wanamuunga Lissu wilaya karibu zote zinamuunga Lissu..
Lissu alipotoa ile Kauli kuwa Ruzuku sasa Itafika Mpaka kwemye Mashina Kila Kiongozi afaidike na Uongozi wake na sio tabaka la Juu tu..
Kajizolea Wajumbe wengi sana ambao wameona kweli Mwamba anawapiga sana
yule atakuwa team mboweHadi Sugu?
Huyo anayekwenda ukweni kila Disemba hana influence yoyote kwenye mambo ya kiume kama haya.EXCLUSIVE NEWS zinanifikia mezani kwangu…
Jana siku ya X-Mass kulikua na Hafla Nyumbani kwa FAM…
Influencers wakubwa akiwemo Yule Jamaa Madenge wa EFM walialikwa… pamoja na Wanasiasa kadhaaa…
Tutegemee kuanzia January kuchafuka kwa Mitandanoi watu wapo kimaslahi Binafsi!
FAM atasifiwa kwa kila namna- ujue watu ndio wapo kazini hivyo
Pichani ni Jamaa wa EFM akiwa na Mtoto wa FAM- JAMES MBOWE- Nyumban kwao!
View attachment 3185831
Lakini Hafla ilifana saaana…
Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu walifika… na pia influencers kuhakikisha Hasira za wana Online zinakua neautralized!
Kuna timu imeandaliwa ku CRUSH kila AGENDA ya Lissu hasa ya Ufisadi na Ukomo wa madaraka…
itaongozwa na Kikatuni /NTOBI/Boni mayai/MMM/Yeriko na baadhi wenye followers wengi ambao kazi ya kuwapata na kuwaunganisha amepewa Jamaa Wa EFM Aka Madenge..
View attachment 3185833
Makamba JrAliyeshangilia kifo cha shetani Magufuli ni Samia!
Wewe ni mjinga na ulichoandika ni ujinga ujueLISU ANAPENDA PESA SANA CHAMA AWEZI ACHIA MTU KAMA UYU. 1) KAKATAAA PESA ILI APEWE MIPESA MINGI 2 ANASHKLANI PAMOJA NA KUPEWA AKI ZAKE KADHAA ZA UBUNGE LKN AJAONESHA SHUKLAN YOYOTE KWA MTU ALIESAMINI UKWELI W MADAI YAKE WKT ALISHANJIWA BAHARINI SHUKLAN YAKE NDIO HII ANAMTAJA KAMA MZANZIBAR ANAEUZA RASILIMALI AMWITI RAIS!! KUFANYIWA YOTE AYO ADI KUTEMBELEWA HOSPITAL BADO AMUESHIM KIONGOZI UYU JIULIZE WW LISU ATAKUSHUKULU KWALIPI WW UNAEMPIGANIA LISU ATAKAMA MBOWE AFAI LKN CHAMA AKIWEZI ACHIWA KWA MTU WAINA HII ATAPATIKANA MZALENDO MWENGINE TUTAUNGANA KUMTOA MBOWE 4 ANAONEKANA ANATUMIA KILA FULSA KUISAKAMA SERIKALI IYOIYO JAPO IMEMSAMINI NAWAKUMBUSHA AMETANGAZA YEYE MWENYEWE KUWA ATAISHTAKI TIGO BAADA YA APO SERIKALI ANAONGEA UKU ANAJITAMBA KUWA NAJUA NITALIPWA PESA NYINGI NISHAMWAMBIA MZUNGU WANGU HAANZE KAZI MASWALI IZO PESA ZA SERIKALI ZANANI SIZAWANANCHI NDIO ZINALIPIA UDUMA MBALIMBALI WALIMU MADAKTARI NA MENGINEO MBAYA ZAID UYO UYO LISU AMEDAI ANAWAJUA WABAYA WAKE SASA KWANINI ASIWASHTAKI WAO WENYEWE KWAKUA MATENDO YAO WAMEYAFANYA KINYUME NA MIONGOZO YA KAZI ZAO SHERIA ZETU KATIBA YETU AIJAMPA MTUYOYOTE MWENYE CHEO CHOCHOTE AKI YA KUMTOA MTU ROO KWAIYO YALE YALIOTAKA KUFANYIKA NI UMAFYA KUTOKA KWA MTU BINAFSI SIO MIONGOZO Y SERIKALI SASA KAMA ANATAMAA NA NI MWIZIII WA PESA ZETU WANANCHI KWANN ATAKE KUISHTAKI SERIKALI BADALA YA WAUSIKA BINAFSI. Akuna kinga ya makosa yote ktk nchi yetu nimengemuona japo yupo saai sasa kuwashtaki wabaya wake na ikiwezekana awafilisi sawa lkn pesa za watanzania zamaendelea yetu anataka kuzipola kupitia mahakama!! Wkt yeye yupo uko Ubelgij miaka na miaka sisi waTanzania tupo apa tunasukuma gurudum letu mdogo mdogo leo japo mji unapendezza SGR na mengine atoke uko Ulaya aje achote Azina mipesa akatumie uko Ulaya. Ili mm nililikemea sana toka. Alipoitisha mkutana Wawaandishi Habari tangu nilimchukia nikashikilia ili ili tangu palepale sijukua ata kuwa anampango wowote Wakutaka awe mwenyekiti sipo kisiasa nipo kutetea pesa zetu. Mm nimlipa Kodi. Mnaompigania Lisu mitandaoni ujumbe umewafikia uyo jamaa sio mtu kichwani shuklan aipo kwake utatumika tu lkn akujali ajal yoyote risasi nimevuruga Ubinadam wake, Watanzania kwasasa tumuepuke kumpa majukum japo tusimtenge sisi bado tunauruma nayeye.lkn yeye ayupo kama yule tunzaniae mwangalieni tu anavyopambana kupata uwenyekiti kwa kuwasakama viongozi muimu kwenye chama chake sasa kwa akili ya kawaida kila mtumishi ndani Chadema anamtengeneza awe upande wa mbowe mana anajua Lisu akishinda atatufukuza. Kama pesa ya mama ndio inalipia mishaara yao nawewe unapasa saut iyo pesa unategemea wao watakupenda yani wafanye kazi Bule. Kwaiyo Kimahesabu Lisu ameshapoteza uchaguzi sababu watu Wajikoni mikelele ya Lisu imewafanya Waungane wote. Ata kama baadhi yao walikuwa kimya kimya wanataka kumpigania lkn sasa watamuogopa wataona bola Mzee Mbowe . Awe makin kwenye kauli zake wkt mwengine ajui kuwa anawaunganisha washindani wake.
Watu wana cheza mpka UNO kibarazani 😄Kakosa mwaliko huyo.
Siri iwe kwenye public namna hiyo.?
Afu hajui Madenge ni shemeji yake Mbowe?
ushahidi, kwani hapa ni mahakamani?!Nani wa ccm anamtaka Mbowe? usilete hisia zako..weka ushahidi
Huyo ni chawa hawamjui hata.Na Quinine😅😅
Hahahaalikosa usafiri kutoka kwake mwanagati
Hawataweza ,watakutana na spana size mia,acha wajichanganyeEXCLUSIVE NEWS zinanifikia mezani kwangu…
Jana siku ya X-Mass kulikua na Hafla Nyumbani kwa FAM…
Influencers wakubwa akiwemo Yule Jamaa Madenge wa EFM walialikwa… pamoja na Wanasiasa kadhaaa…
Tutegemee kuanzia January kuchafuka kwa Mitandanoi watu wapo kimaslahi Binafsi!
FAM atasifiwa kwa kila namna- ujue watu ndio wapo kazini hivyo
Pichani ni Jamaa wa EFM akiwa na Mtoto wa FAM- JAMES MBOWE- Nyumban kwao!
View attachment 3185831
Lakini Hafla ilifana saaana…
Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu walifika… na pia influencers kuhakikisha Hasira za wana Online zinakua neautralized!
Kuna timu imeandaliwa ku CRUSH kila AGENDA ya Lissu hasa ya Ufisadi na Ukomo wa madaraka…
itaongozwa na Kikatuni /NTOBI/Boni mayai/MMM/Yeriko na baadhi wenye followers wengi ambao kazi ya kuwapata na kuwaunganisha amepewa Jamaa Wa EFM Aka Madenge..
View attachment 3185833
pwagu na pwaguzi mnapeana moyo na matumaini kisayansi ee ndrugo zango 🐒Kajificha Mwanagati😂😂
Wasichokijua ni kuwa Anguko linakaribiaEXCLUSIVE NEWS zinanifikia mezani kwangu…