FAM aitisha Hafla ya Siri Nyumbani kwake Akialika Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Na Kuwaahidi Vinono

acha upotoshaji gentleman,
kila moja apambane na anachoona kinamfaa..

Lisu na chuki zake apambane na Mbowe na hekima zake nae ambambane,

Chadema inahitaji kiongozi mzalendo 🐒
Gentleman code inatuketa closer to know who you are.

Haya niambie, una maslahi gani ndani ya CHADEMA?
 
Hao efm wasijichangabye watuachie sisi wajumbe tufanye kazi yetu ya kumgoa nduli kwa aibuu.uwezo tunao na nia tunayo.
 
Na CAG wanakagua vitabu vinavyotunzwa na Mbowe? Haujui kuwa CAG hakagui tu pesa zilizopo bali pia taratibu za manunuzi na utunzaji wa pesa. Wakimaliza wanafanya mazungumzo na Accounting Officer ( Mnyika) na Chief Accountant kuhusu walichokiona. Kusema kuwa hao wawili nao hawajui kinachoendelea ni uongo mtupu. Na taasisi kama CDM ikijiendesha kwa cash itajulikana tu maana hamna siri ya watu wawili.

Amandla...
 
Kwa hiyo kwenye Krismasi asialike watu? Je, Tindu Lissu mwenyewe amezuiliwa kualika watu?
 
Kwa sasa uchaguzi wa chadema utamulikwa vilivyo, mienendo yote itamulikwa. Tunataka uchaguzi ulio huru na WA wazi, wajumbe wasihongwe, wala kusafirishwa nje ya chama.Tunataka kuona tofauti ya ccm na chadema
 
Kivumbi na jasho 😂😂😂
 
Huyo mpuuzi mwaka wa 3 anaishi kwenye denial haamini dikteta wa Chato hatorudi tena.

Akichoka ID hiyo anaswitch na ID zake zile 3 kuja kuongeza wingi wa reply za Magufuli akiamini atarudi tena.
Duh
 
Nimemuona Madenge hivi bado yupo EFM?
Yupo EFM kwenye masoko uko anatafuta matangazo, kutangaza alifeli kabisa hakuwa na kipaji wala mvuto.

Mimi niliwahi kusema jamaa hana kipaji cha radio

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…