Familia hohehahe zinazidi kuongezeka Tanzania

Maeneo yapo makubwa Tanzania watu watoke mjini wakaanzishe mashamba ya vijiji huko na ufugaji...kila mtu tatizo anataka kuishi mijini..haswa mji wa daslamu huku anaishi nyumba ya mbavu za mbwa....choo cha foleni maji ya kibaba...
 
Mkuu inapaswa ukumbuke umasikini sio jambo jipya ulikuwepo toka enzi za Baba wa Taifa ukifanya tathmini tulipotoka na tulipo ni wazi tumepiga hatua.
Kwa hiyo tupandishe mabega na kutembea kwa kujivuna?Na Singapore tuliokuwa nao sawa kiuchumi wakati wa miaka ya uhuru tuwaambie nini?
 
Kwa Utafiti upi?
 
Utafiti upi?
 
Kilio Cha jamii ni Barabara Vijijini,umeme affordable,gharama nafuu za Afya na uhakika wa soko la mazao Yao lakini Serikali inatumika matrilioni ya Kodi zao kuwekeza kwenye miradi ambayo haiwasaidii kuondoa umaskini eg Sgr,ndege,majengo makubwa makubwa ya Utawala,stendi kubwa kubwa zisizo na maana,gharama kubwa za Utawala nk

Kwa mantiki hii unategemea idadi ya maskini itapungua hapa Tanzania? Na mbaya zaidi Kwa Kasi hii kubwa ya ongezeko la watu vs Kasi ya kujua uchumi tunaenda kurudi kwenye LDC status.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…