Familia kwanza ukifa hakuna wa kuwapenda zaidi yako

Familia kwanza ukifa hakuna wa kuwapenda zaidi yako

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
1. Tuishi kwa kutanguliza familia mbele. Marafik, ndugu wa mbali na majirani ni nyongeza tu.

2. Ukiondoka hapa duniani watakaoathirika zaidi ni familia yako (mwenza na wanao). Hao wengine wakishazika wanakusahau ndani ya nusu saa. #Tuishi#
 
Ujumbe mwanana.
Ila kuna mke anaombea ufe arithi mali.
#Kataa Ndoa
 
Ni mtazamo wako tu,uhalisia ukifa hakuna anaye athirika kila kitu kitakuwa kama kilivyo.hata hao wanao watakula watasomo,wataoa na kuolewa na badaye nao watakufa.
Jaribu kuangalia wanawake wanaofariki wakati wa kujifungua huku yule mtoto anaacha tokea alipo toka tumboni-na unakuta alizaliwa na mwanamke ambaye hajaolewa hata Baba wa mtoto hajulikani.mwisho wa siku wanaishi na maisha yanaendelea.

Hakuna chochote kina guarantee zaidi ya kifo.
 
1. Tuishi kwa kutanguliza familia mbele. Marafik, ndugu wa mbali na majirani ni nyongeza tu.

2. Ukiondoka hapa duniani watakaoathirika zaidi ni familia yako (mwenza na wanao). Hao wengine wakishazika wanakusahau ndani ya nusu saa. #Tuishi#
Watakuja kuangalia fursa kama kuna mme au mke aliyeachwa wamnyakue au mali
 
Back
Top Bottom