Unawapenda wazazi kuliko wanao?Wazazi wako?
Watakuja kuangalia fursa kama kuna mme au mke aliyeachwa wamnyakue au mali1. Tuishi kwa kutanguliza familia mbele. Marafik, ndugu wa mbali na majirani ni nyongeza tu.
2. Ukiondoka hapa duniani watakaoathirika zaidi ni familia yako (mwenza na wanao). Hao wengine wakishazika wanakusahau ndani ya nusu saa. #Tuishi#