R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Aug 22, 2024 #21 Erythrocyte said: Asante Click to expand... nasema hivyo kwa vile boniyai amesema watu waliopotelewa na dugu zao waje kwenye mkutano. Wakisikia hivyo polisi watakuja kuwazuia kuja kwenye mkutano. Take care please
Erythrocyte said: Asante Click to expand... nasema hivyo kwa vile boniyai amesema watu waliopotelewa na dugu zao waje kwenye mkutano. Wakisikia hivyo polisi watakuja kuwazuia kuja kwenye mkutano. Take care please
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Aug 22, 2024 Thread starter #22 Jitokezeni kwa Wingi
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Aug 22, 2024 #23 JF naomba tupaze sauti hapa kueleza uhalifu list ya mapolisi watekaji na magenge. la kwanza kikosi kazi kipo OStabey na kina nuka rushwa
JF naomba tupaze sauti hapa kueleza uhalifu list ya mapolisi watekaji na magenge. la kwanza kikosi kazi kipo OStabey na kina nuka rushwa
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Aug 22, 2024 #24 Abby Newton said: Kwani polis walichukua hatua gani maana jukumu namba moja la polis ni kulinda raia na Mali zao. Click to expand... Leo ndiyo nimejua kile kikosi hakiingiliwi na wadudu wala polisi, yaani ni kikosi cha mauaji na etc...
Abby Newton said: Kwani polis walichukua hatua gani maana jukumu namba moja la polis ni kulinda raia na Mali zao. Click to expand... Leo ndiyo nimejua kile kikosi hakiingiliwi na wadudu wala polisi, yaani ni kikosi cha mauaji na etc...
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Aug 22, 2024 #25 Gestapo