Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Waliotekwa na kupotea Waitwa kwenye Ofisi za CHADEMA Mikocheni

Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Waliotekwa na kupotea Waitwa kwenye Ofisi za CHADEMA Mikocheni

JF naomba tupaze sauti hapa kueleza uhalifu list ya mapolisi watekaji na magenge. la kwanza kikosi kazi kipo OStabey na kina nuka rushwa
 
Kwani polis walichukua hatua gani maana jukumu namba moja la polis ni kulinda raia na Mali zao.
Leo ndiyo nimejua kile kikosi hakiingiliwi na wadudu wala polisi, yaani ni kikosi cha mauaji na etc...
 
Back
Top Bottom