mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,565
- 2,944
Mm biinafsi nakiri nilikosa malezo mazur kwa baba yangu sababu ya extended family,baba hakuwa na kipato kikubwa alikuwa mtumishi kada ya kawaida ila alibeba ndugu wengi sana,upande wakw na upande wa mke wake,matokeo yake alikosa hata muda wa kutuhudumia vzr,baada ya kufariki watu wote walitawanyika nyumbani tukaanza kuishi maisha halisi yakwetu,hakuna msaada wala kujuliwa hali,tumepambana tumefka pazur ndugu wanakuja tena,unashangaa tu unapigiwa simu mm fulani mtoto wa fulani mwanangu nina shida kadhaaa....naangalia napuuzia,nimejiwekea azimio kutokusaidia kama mwnyeww na wanangu hakinitoshelezi,hawa ndugu tnasaidia kwa imani na wao watakuja kutusaidia au kusaidia watoto wangu ila inreality haipo hivyo! Wanakuwa wa kwanza kutusahau wakifanikiwa,ni wachachs sana wenye kukumbika fadhila