Familia Tajiri ya kihindi yenye ukwasi wa Trilioni 100+ yahukumiwa Jela kwa kuwanyanyasa wafanyakazi wa ndani na kuwalipa malipo kiduchu

Familia Tajiri ya kihindi yenye ukwasi wa Trilioni 100+ yahukumiwa Jela kwa kuwanyanyasa wafanyakazi wa ndani na kuwalipa malipo kiduchu

Niliwah kufany kazi ya pastrier hoteli flani hiv bosi muhindi. Unaambiwa akikuona kwemye kamera unaonja fruits mara zaidi ya tatu unakatwa mshahara. Hata vyakula vilivyobakia kutoka kwenye buffet hutakiwi kuvimalizia.. bora umwage au ukalie cold room. Akikubamba mkuu umekwisha
Duh
 
Hahahah unajifanya kuzuga unakinga maji bombani na kumbe nimetia cool juice kwenye jar la kumixia Koktal then nazuga namwaga then nahamisha kwenye birauri ya bati nasuuza natia juice nagidaa na security camera wanoko balaa wanajua nakunywa maji!

Hao indian hata espresso coffee kikombe kidogo hawataki unywe utoe uchovu
Maniner zao gabachori!
Kilichoniuma zaidi walibadilisha dinner set za restaurant vyombo bado vizuri tu wakagoma kutoa kwa staff wakaona bora wavipasue na kutia dampo!
Aaagh Hao jamaa pilipili zimewaharibu akili
😁😁
 
Hahahah unajifanya kuzuga unakinga maji bombani na kumbe nimetia cool juice kwenye jar la kumixia Koktal then nazuga namwaga then nahamisha kwenye birauri ya bati nasuuza natia juice nagidaa na security camera wanoko balaa wanajua nakunywa maji!

Hao indian hata espresso coffee kikombe kidogo hawataki unywe utoe uchovu
Maniner zao gabachori!
Kilichoniuma zaidi walibalisha dinner set za restaurant vyombo bado vizuri tu wakagoma kutoa kea staff wakaona bora wavipasue na kutia dampo!
Aaagh Hao jamaa pilipili zimewaharibu akili
[emoji16][emoji16]
Duuh
 
Jana Na Leo kuna Habari ilisambaa kwenye Mitandao now imewekwa BBC kuhusu Tajiri namba moja UK mwenye asili ya INDIA Ajay Hinduja kufungwa miaka Minne jela yeye mkewe na watoto wake kwa kosa la kutumikisha Wahindi wenzao kutoka India kwa kazi za Ndani kwa mshahara mdogo sana

View attachment 3023147

Wamefungwa huko Geneva Uswiss walipokuwa wanaishi, Unaambiwa waliwachukua mabinti kutoka India wakawasafirisha hadi Uswiss kisha wakawa wanawatumikisha kazi kwa saa 18 kwa siku huku wakiwa wamepokonywa pasi za kusafiria na hakuna ruhusa ya kutoka nje huku walilipwa pesa ndogo

Hiki kisa kimenikumbusha enzi hizo najitafuta niliwahi kuajiriwa sehem tena kampuni kubwa tu na kazi ilikuwa ni kumsaidia chief C, Mpishi mkuu wa Boss mkubwa tu Tajiri la kihindi hapa Bongo kwa mkataba wa sh 180,000 kwa mwezi ilikuwa mwaka 2015 hiyo, Chief yeye Ali kuwa analipwa 250,000 kazi ya kumpikia Bilionea hiyo jamani Wahindi shkamooni

Iunapokuwa Tajiri mkubwa hakikisha wasaidizi wako wa Ndani na wanaokupikia uwape pesa nzuri la sivyo wa naweza hata kushawishika kukuwekea sumu wakapotea, Bilionea una mzigo wa Trilioni alafu anaekupikia unamlipa mshahara mbuzi hamuogopi kufa?
Ukifanya kazi na mhindi tegemea kunyonywa tu na huwezi endelea kabisa. Nilifanya kazi na chotara mhindi-mmarekani lakini haikusaidia. Ile damu ya kihindi ilikuwa ni hatari na anapenda kila wakati akuweke chini ya miguu yake, ni hovyo!
 
Back
Top Bottom