Familia Tajiri ya kihindi yenye ukwasi wa Trilioni 100+ yahukumiwa Jela kwa kuwanyanyasa wafanyakazi wa ndani na kuwalipa malipo kiduchu

Duh
 
Hahahah unajifanya kuzuga unakinga maji bombani na kumbe nimetia cool juice kwenye jar la kumixia Koktal then nazuga namwaga then nahamisha kwenye birauri ya bati nasuuza natia juice nagidaa na security camera wanoko balaa wanajua nakunywa maji!

Hao indian hata espresso coffee kikombe kidogo hawataki unywe utoe uchovu
Maniner zao gabachori!
Kilichoniuma zaidi walibadilisha dinner set za restaurant vyombo bado vizuri tu wakagoma kutoa kwa staff wakaona bora wavipasue na kutia dampo!
Aaagh Hao jamaa pilipili zimewaharibu akili
😁😁
 
Duuh
 
Ukifanya kazi na mhindi tegemea kunyonywa tu na huwezi endelea kabisa. Nilifanya kazi na chotara mhindi-mmarekani lakini haikusaidia. Ile damu ya kihindi ilikuwa ni hatari na anapenda kila wakati akuweke chini ya miguu yake, ni hovyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…