Enyi familia ya Rwakatare nawashauri ushauri wa Bure Bure Bure kabisa, mtafutieni mganga WA Jamii Forums nchini Tanzania ndugu Mshana Jr awasaidie kumzindika ndugu yenu la sivyo nawambieni Huyu Diwani hapotei hivi hivi...
[emoji16] Wala hakuna haja diwani yuko maeneo anakula bata kwa mrija hataki kelele na waswahelEnyi familia ya Dkt. Rwakatare nawashauri ushauri wa bure bure bure kabisa, mtafutieni mganga wa JamiiForums nchini Tanzania ndugu Mshana Jr awasaidie kumzindika ndugu yenu la sivyo nawambieni huyu Diwani hapotei hivi hivi.
Mbona alikuwa hapotei mama yake akiwa hai?
Mi nasema mtafuteni mshana mganga wetu sisi Wana JF atawasaidia.
Mara ya pili hii akipotea ya tatu ndio ntolee [emoji23]Kwani kapotea tena?
Unajua kila utajiri au umaarufu una masharti yake hasa kama umevipata kwa njia za giza! Sasa huyu anateswa na madhabahu ambazo hakuzisimika yeyeAwasaidie kumzindua sio kumzindika!
[emoji3][emoji3][emoji3]Yaani unataka kusema shetani akizeeka anakuwa malaika?Kwa sasa kashamenyeka maganda hana sumu tena
Nilizichakata zamani kilingeni za buuree [emoji23]Huyu mwamba atakua anazichakata papuchi somewhere
Mshana Jr wale jamaa bado wanaendelea na mbanga zao za kukufuatilia tu?[emoji3][emoji3][emoji3]Yaani unataka kusema shetani akizeeka anakuwa malaika?
Aah wapi niliwapukutisha woteMshana Jr wale jamaa bado wanaendelea na mbanga zao za kukufuatilia tu?
Dah...[emoji16]Huyo unayemsema sio mganga, alikuwa tu mfanyakazi wa mortuary akawa anashiriki dili za kichawi humo ndio akafahamu mambo fulani fu;lani humoπππ