chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Wamjua kwa vilembe kumbe.ahsante San kwa uwepo wakoSiku hizi kila kona upo kwaajili ya kukebehi na kutoa matusi kwenye nchi yetu tukufu ya Tanzania. Unadhani utaweza au unajipa stress tu ambazo hazina sababu.
Nimekuona kwenye mtandao wa Kenya Talk, ukirusha maneno ya kebehi na kujikomba kwa wakenya. Huenda mwenzetu upo na chembechembe za nchi adui wa Tanzania.
Haiwezekani kila kitu kurusha matukano na maneno ya kebehi kwa watu waliokuzidi umri. Ninauhakika karma itakufuata kokote.