chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Wamjua kwa vilembe kumbe.ahsante San kwa uwepo wakoSiku hizi kila kona upo kwaajili ya kukebehi na kutoa matusi kwenye nchi yetu tukufu ya Tanzania. Unadhani utaweza au unajipa stress tu ambazo hazina sababu.
Nimekuona kwenye mtandao wa Kenya Talk, ukirusha maneno ya kebehi na kujikomba kwa wakenya. Huenda mwenzetu upo na chembechembe za nchi adui wa Tanzania.
Haiwezekani kila kitu kurusha matukano na maneno ya kebehi kwa watu waliokuzidi umri. Ninauhakika karma itakufuata kokote.
Utajipa stress bure tu dada fanyakazi tu haikusaidii kuiponda nchi yako tunakuona huko Kenya Talk unavyohangaika!! Haitakusaidia zaidi ni kujitag tu kwa nchi yako!Mboga ninadifia ujenzi wa Chato International Airport hata na Chato Stadium au huoni
Mkuu huyu msaliti atanyoka tu si muda mrefu!Nimemalizana na wewe. Kwani Chato hawataki maendeleo!? Are you stupid or something!? Mbona huongelee uwanja wa ndege Songwe!? Mbona huongelei flyovers za Dar es salaam!? Mbona huongelei barabara zinazojengwa Arusha!?
Tabia za kueneza chuki hazikusaidii chochote. Unapandikiza mbegu za chuki ili watu wa Geita wachukiwe!?
Huo ni wehu na roho za kichawi. Wewe unaona ni vitu simple tu unafanya. Labda uwe unatumikia adui wa nchi yetu.
Kwanini kuna English ya UK, America, Nigeria n.k
ila linapokuja suala la kiswahili tusiseme kuna Kiswahili cha Kenya na cha Tanzania??
Hahahaaaa..Watoto wakifunzwa na mbongo afrika kusini
Mwalimu: (anaandika ubaoni)reo tutazungumza kuhusu vyuo vikuu balani aflika
Wanafuzi: (wapo kimya maana hawaelewi lugha hawawezi waka -interrupt.wakae kitako wafunzwe)
Mwalimu:vyuo vikuu kwa kimombo ni universities. Say universities.
Wanafunzi: universities!!
Mwalimu: tutaanza na aflika mashaliki (kuzungumza anazungumza vizuri makosa ni katika maandishi)
1.daresaraam
2.makelele university
Mwanafunzi: excuse me teacher where are those universities?
Mwalimu: ze zezeze zey are...........
Watachukua watu kama wewe ambao wanajua au ni wewe pekee ambae unajua hayoHahahaaaa..
Inakera sana.
Infact hiyo ndiyo aina ya walimu tulio nao.
AFLIKA badala ya AFRIKA.
AJAJA badala ya HAJAJA.
Unasikitisha sana, hizi siasa usipoziangalia kwa jicho la tatu utaonekana zuzu kwa wenye hekima zao. Jaribu kuwa na kiasi ata ambao wako neutral utafanikiwa kuwashawishi ila kwa style hii unaonekana kama kikaragosi au mwanasesele.Mboga ninadifia ujenzi wa Chato International Airport hata na Chato Stadium au huoni
Ili ukiite Kiswahili kuwa FURSA ni lazima ufahamu na lugha nyingine (hasa ile inayomshindaga mkuu). So vijana wa BA Kiswahili acheni kuota ndoto mbaya huko vijiweni muwaachie Wakenya fursa yao.
Kwanini kuna English ya UK, America, Nigeria n.k
ila linapokuja suala la kiswahili tusiseme kuna Kiswahili cha Kenya na cha Tanzania??