Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

They don't give you attention,
They don't cherish you
They don't converse with you
It is a crime before man and a sin before God.
Wachina wanaweza kuchezea hizo plastik ukapata kansa isiyo mfano.
Ndio maana siku hizi cervical cancer kwa wadada ni za kiwango Cha juu mno.

Unabaki kucheka unavyowaona wanashadadia hayo madildo namna wanavyojitesa. Vitu vya kijinga baadae wanakuja kuingia gharama ya mamilion kutafuta tiba.


Alieturoga waafrica atutibu jaman
 
Umedandia. Anzia tangu mwanzo. Sikusema unayojaribu kunipinga.

Niseme na wewe umedandia maana ulipoanza kujibu ulijibu huku ukiwa hujanielewa na ukaleta mada zako mpya ndani yake maneno ambayo sikuyaweka kwenye original comment yangu
Itoshe kusema hukunielewa
Hata hivyo kama kuna watu wanataka kusuguliwa wacha wasuguliwe kama wanataka wapapaswe wacha wapapaswe kila mtu afanye atakacho kuwashangaa Au kuwapangia ni kama vile wewe kusugua huwezi Au unawaonea uwivu wanao suguliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Happy Sunday mkuu
 
Wanawake wanachukulia vitu kiurahis... ndio maana waarabu hata wahindi hawawaachi wanawake wafanye maamuzi.. mume akifa kama kuna mahela mwanamke hapewi hizo hela.. ila anapewa huduma zote na ukoo wa mume.. mpaka atakapoolewa tena
Kuna wanaume wanauliwa kwa sababu ya mali tena wapo wengi tu pia wanawake huuliwa kwa sababu ya mali kama huyo mke wa Joe sasa hii habari ya kusema wahindi sijui wanafanyaje haiwezi kuzuia binadamu kuuana sababu ya mali jambo la msingi kila mtu anapaswa kuwa makini
 
Wivu gani tena jamani? Wa kushindwa kusugua? Du. Sasa wewe kama ndiyo raha yako usilamishe kila mtu aone hivyo. Comment yangu ni standard na ina-apply kwa wanawake wengi i.e. mapenzi ni zaidi ya hiyo kusugua. Kama wewe hiyo ndiyo raha yako basi ruksa ila usilamishe wengine waseme hivyo
 

Unatusemea kama nani na wewe ni mume?
Nikuulize basi unajua kusuguliwa huwa tunajisikiaje....
Kitu nimekusoma wewe ni msahaulifu rejea comment yako ya kwanza ulio kurupuka kuijibu soma nilicho kiandika na ulicho kijibu unapoteza maana ya hata tulipo anzia
Kwanza umejibu ukajaribu kunifanya mimi ni mdogo na mgeni wa mboo
Haya wewe mwenyeji wa mboo ukisuguliwa huwa unaumia,maana unaponda kusuguliwa kama vile unajua huwa tunajisikia vipi....hebu tulia tuishie hukunielewa tu yaishe
 

Umeniwahi!!huu ndio ukweli
 

Uchunguzi utafanyika, naamini haki itatendeka na wahusika watapewa stahiki yao kama adhabu ya kudhulumu uhai wa familia nzima
 
Itakuwa huzuni imemuelemea Mshana Jr: kama ndiye ...Ni Simanzi kubwa...Wapumzike kwa Amani
 
Huyo wa kulia mhhh
 
Pasco ulitaka kula kimasihara

Ova..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…