Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

R I P
 
Whoever did it atakua mtu au watu ambao watanufaika na kutokuwepo kwa mama na wanae wa pekee..boyfriend hawezi kunufaika na chochote...mlinzi kama kweli alikua anafokewa na manyanyaso angewaibia siku moja na kutokomea ili kuwakomesha..
 
Whoever did it atakua mtu au watu ambao watanufaika na kutokuwepo kwa mama na wanae wa pekee..boyfriend hawezi kunufaika na chochote...mlinzi kama kweli alikua anafokewa na manyanyaso angewaibia siku moja na kutokomea ili kuwakomesha..

Mimi pia nahisi ni beneficial... ndugu wanaopaswa warithi mali hizo... waangaliwe sana
 
Pole sana kwa ndugu na jamaa, marehemu mme wake ambaye pia ni marehemu namfahamu kidogo na tuliwahi kutana Bukoba 2011 kwa Tall & Kipara fundi simu kwani simu yake samsung galaxy s2 ilikuwa na shida na Kipara akishindwa kulitatua. Nakumbuka usiku wake tulikutana tena Linaz night club na alinikumbuka na akatupa offer ya vinywaji na washikaji zangu. Alikuwa mtu poa sana na asiye na majivuno .Nahisi Kuna uhusika wa ndugu katika hiki kisa cha mama na watoto kuuawa
 
Kuna mtu mmoja ambaye anamfahamu huyo Shadrack anadai kwamba hizi tuhuma za kuuwa si mara ya kwanza kwake,alishatuhumiwa kuuwa huko kijijini kwao alikokuwa akiitwa Shalaki na kukimbilia Dar na kujiita Shadrack,inasemekana alimchinja mjomba yake kwa tuhuma za kishirikina.
Jamani matajiri msichukue watu ambao hata hamjui historia yao ya nyuma,chondechonde.
 
Kila Mtu ale au aliwe anvyopenda! Sisi Wanaume tuko flexible! Ukitaka kusuguliwa sema usiogope,utasuguliwa vizuri tu! Na ukitaka kupapaswa sema napenda kupapaswa na utapapaswa vizuri tu! Hata Kama kuna wale wanaopenda kunyonywa t nao wawe huru kusema! Msiisemee pembeni,semeeni palepale kwenye show! Msizani sisi Wanaume ni Malaika kwamba tutajua unachopenda bila wwe kusema!!
 
Duh..kumbe ana background ya umwagaji damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona mnatutia nyege! Kumbukeni tuna Msiba! Na maada ni mauwaji!!
 
Uchunguzi utafanyika, naamini haki itatendeka na wahusika watapewa stahiki yao kama adhabu ya kudhulumu uhai wa familia nzima
Rahaa ya uchunguzi ufanyike kwa wakati!!
 
Nitaingia dhambini ngoja nisicomment
 
Jaman mnaingia deep sana😋!
 
Mimi masuala ya kusuguana lisaa au 30min( i mean unapump tuuuuu 😏😒 sitaki...huna technques bas uniache..khaa..kuchoshana mm sitak kbs...
 
Mimi masuala ya kusuguana lisaa au 30min( i mean unapump tuuuuu [emoji57][emoji19] sitaki...huna technques bas uniache..khaa..kuchoshana mm sitak kbs...
Alafu wwe utamponza mwenzio hapa Nyumbani, maana mnavyozidi kutuwasha humu,muda si mrefu nitamchoropoa huko jikoni aje nimpe haki yake!! Jamani turudini tu kwenye maada ya mauwaji ya familia!!
 
AMEIBA KIASI GANI CHA FEDHA , HUYO BOYFRIEND?
 
Hii case inafanana na ya Said ntimizi alipooondoa uhai wa yule mama mwenye shule na kumzika ndani ya ceptic tank.

Nahisi kama saidi yuko out of prison ila kalay low. Kama yule aliyemuua marehemu ayoub naye katoka jela conrad. Wauaji bongo wengine huwa wana toka ( mapungufu makubwa haya kwa wahusika).

Issue ya huyu dada nadhani kuna mambo ya kishirikina pia toka kwa ndugu wa mume wanaotaka kurithi mali ya mumewe. Kuna nguvu za giza hapa zimekuwa triggered. Houseboy amekuwa kama agent of action in the spirit realm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…