Familia ya Mose Iyobo hivi mnamtafuta nini Harmorapa?

Familia ya Mose Iyobo hivi mnamtafuta nini Harmorapa?

Ila uzee si mzuri Anty Ezekiel kaonyesha kuzeeka kabisa sura na mwili
 
Yaani Huyo Dogo hajaanzaa hAta Mziki Ashaanza Bifu huwezi Toboa kimuziki kwa kutegemea kiki za Bifu

Ila hapa Bongo ukiwa na Bifu na WCB duuuu lazima ujulikane
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nakojoaaaaa!!umeua!!
Tukojoe pamoja[emoji23] [emoji23]
 
Kituko ni pale mwafrika mwenzako anapokuita Nyani[emoji23] [emoji23]
Hivi Mose Iyobo sindo yule mnenguaji wa Diamond[emoji23]

Kuna usemi" mwanaume anaye endesha gari la baba yake hapaswi kuzungumza mbele ya wanaume wanaomiliki baiskeli"

Harmorapa anafanya mziki, Mose Iyobo anacheza mziki ulioimbwa na wanaume wenzake, hivi nani mjanja hapa[emoji23] [emoji23]
Unatafuta kuitwa wewe nyani sasa mimi sipo mkuu
 
Back
Top Bottom