Familia ya Mramba ni waajiriwa wa TANESCO au ni wanahisa?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kuna hawa wafu wanaitwa Mramba, kila likitokea tatizo la umeme lazima wajitokeze mbele na stori nyingi zisizobadilika.

Ningependa kufahamu hawa ni wamiliki wa TANESCO au wanahisa au wamesomea sana umeme na kwamba bila wao umeme hautakuwepo Tanzania?

Kuna siri gani kati ya familia ya Mramba na matatizo ya Nishati nchni? Are they problem creater or problem solver? Sometimes unaweza ukawa umesoma sana lakini huna bahati yakufanya jambo likafanikiwa. May be hawa watu wanaweza wakawa na uwezo mkubwa wa akili lakini hawana baraka na kipawa chakufanya mabadiliko ;
 
Mramba maana yake ni "togwa". Juice ya ndizi! Hamna kitu hapo!
 
Anzia Mkapa na Mramba walipoibinafsisha Tanesco.
 
Wafu, wanaitwa Mramba?!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Huekeweki,
Hyo familia imefanyaje
 
Akili zako zimejaa tope.
Felichism Mramba ni kati ya viongozi bora kabisa kuwahi kuiongoza tanesco na sasa katibu mkuu Nishati.
Very humble one na mcha Mungu.

Hutaki kunywa sumu
 
Mpaka Leo bado wanaajiriwa , hawakosi kazi hiyo familia Ina hisa na Tanesco, wakina Mramba wadogo wako wengi wakati wamefeli
 
Msipende kulaumu watu bila sababu. Ni Mramba alisaini au Katibu Mkuu wa Nishati?. Kati ya watu waliotumbuliwa na Magufuli nikaumia ni Mramba.
 
...Kwa hiyo huo Ukatibu Mkuu alioteuliwa hakukuwa na Mwingine ambaye angeweza kushika Cheo Hicho ???
Aliondolewa Kwa majungu ndio maana akapewa nafasi kubwa zaidi. Unamtenguaje mtu yupo kijijini anakula keismasi Kama sio hiyana.
 
Akili zako zimejaa tope.
Felichism Mramba ni kati ya viongozi bora kabisa kuwahi kuiongoza tanesco na sasa katibu mkuu Nishati.
Very humble one na mcha Mungu.

Hutaki kunywa sumu
Kuwa humble kwako si lazima awe kwa watu wote, tupo bao tunapigisha raundi baa kwa kata mti panda mti lakini nyumbani mtoto akiniomba hela ya daftari atajuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…