Diamond ana nyimbo inaitwa Nyegezi ?Kipindi cha nyuma ulikuwa unamtetea sana huyu mzee ,lakini baada ya kutoa hii nyimbo umepata picha halisi ya huyu mzee ni mtu wa aina gani,kwani haya yanayomkuta sasa hivi anastahili..Hii ni familia ya muziki wa Bongo fleva wote wametoa ngoma
Tuambie Wana JF katika hizi ngoma ipi Ni Kali zaidi
View attachment 1061937
Sent using Jamii Forums mobile app