Familia ya muziki bongo wote wametoa ngoma

Familia ya muziki bongo wote wametoa ngoma

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Hii ni familia ya muziki wa Bongo fleva wote wametoa ngoma
Tuambie Wana JF katika hizi ngoma ipi Ni Kali zaidi
Inst-image-3.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hiyo dudu la yuyu baba chibu anaimba kabisaa??
nae Mwajuma (queen darling)anapenda muhogo!!
 
Nchi hii bora mkuu angehamasisha ukuaji wa vichekesho sio viwanda.
 
mzee kafunika hapo.......! kweli watoto walirithi kipaji kutoka kwa baba yao.
 
Huu ni utani wa mwaka..

Hiyo dudu la yuyu iko wapi!??
 
Hahahahahahaha maisha yakikuchapa unaweza kufanya kitu shetani mwenyewe akasarenda.
 
Nyonyo likishalala huwa lasitiriwa kwa sidiria jamani tatizo wadada siku hizi hawana aibu
 
Hii ni familia ya muziki wa Bongo fleva wote wametoa ngoma
Tuambie Wana JF katika hizi ngoma ipi Ni Kali zaidi
View attachment 1061937

Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond ana nyimbo inaitwa Nyegezi ?Kipindi cha nyuma ulikuwa unamtetea sana huyu mzee ,lakini baada ya kutoa hii nyimbo umepata picha halisi ya huyu mzee ni mtu wa aina gani,kwani haya yanayomkuta sasa hivi anastahili..
 
Back
Top Bottom