Familia ya Mzee Ali Kibao yamwomba Rais Samia uchunguzi wa baba yao uwe na uwazi, yasema Polisi haina ushirikiano

Familia ya Mzee Ali Kibao yamwomba Rais Samia uchunguzi wa baba yao uwe na uwazi, yasema Polisi haina ushirikiano

Tlaatlaah ule ustahimilivu wa ma CCM uendelee?
Gentleman,
hakuna jambo la kitaalamu linalo weza kufanyika kisiasa, kwa shinikizo au matakwa ya yeyote asie mtaalamu, ispokua kwa utaratibu wa kisheria na wataalamu wenyewe.

uvumilivu, ustahimilivu na subra ni mambo muhimu mno ya kuzingatia kwenye mambo serious ya kiuchunguzi 🐒
 
wanamuomba ajichunguze. hawajashtuka tu. samia amebariki na anajua wauaji kwa sababu ndiye anawatuma
 
Hakuna chunguzi zilizowahi kuja na majibu sashihi hakuna.
Kwenye hili Mshukuru Mungu, na kuliacha lipite.
Zaburi 9:12
 
Watanga mbona mnaniangusha mshtakieni Mungu kwa kila aliyehusika. Mpaka gari ***** liungue moto
 
Back
Top Bottom