Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 213
- 671
Gentleman,Tlaatlaah ule ustahimilivu wa ma CCM uendelee?
Dah kwa hili siamini napingana na wewe mkuu. Sidhani maza anaweza kuwa katili kiasi hicho.wanamuomba ajichunguze. hawajashtuka tu. samia amebariki na anajua wauaji kwa sababu ndiye anawatuma
Sina uhakika kuwa watasikilizwa