Familia ya Naibu Rais mteule Kenya Profesa Kithure kindiki ina maprofesa watano na madaktari wa falsafa watarajiwa 4

Familia ya Naibu Rais mteule Kenya Profesa Kithure kindiki ina maprofesa watano na madaktari wa falsafa watarajiwa 4

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Familia ya Naibu Rais mteule Kenya Profesa Kithure kindiki inao maprofesa watano na madaktari wa falsafa watarajiwa 4!

Wadau hamjamboni nyote? Familia bora kabisa kitaaluma. Niwatakie siku njema.

IMG-20241020-WA0049.jpg
 
Nikiwaga kwenye harusi ukute upo mc ni full kusifia familia kama hz unaweza ukose hata hamu ya kula chakula chao kama kaelimu kako ni kakuunga unga
 
Back
Top Bottom