Doh balaa!!! Tanzania hatuna sababu ya kuwa nchi maskini. Tuna vyanzo kibao vya kutuletea fedha from madini(Tanzanite,diamond,gold etc) mbuga za wanyama, bahari ,two big lakes, mountkilimanjaro, plenty of land, tuna gesi. Kinacho tufanya tuwe maskini ni kuendelea kulea watu mafisadi wasiokuwa na huruma na watanzania hata kidogo. Walafi waliopitiliza mipaka. Haijalishi aliyehomola ni nani muhindi au mzawa cha msingi ni kumchukulia hatua na walafi kama hawa imefikia hatua inabidi kunyonga tu ili iwefundisho na kuhakikisha hamna mtu mwengine atakayerudia kufanya ulafi kama huo.Inashangaza tumefikia hatua hata hospitali zetu zinakosa dawa lakini bado tunalea mijitu inayojilipa milioni mia mbili kwa siku!!!!πππ π