DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama Simba trust ipo na imeandikishwa,vipi inakuwaa vigumu kupata wamiliki wake? Mara nyingi nchini kunaibuka maswali mengi yakiusiana na fedha bila ya kuwa na majibu. Kipindi fedha za EPA zilipoliwa, raisi aliyekuwa madarakani alisema watakaozirudisha fedha za Epa hawatashitakiwa. Hadi leo najiuliza kama hiyo ilikiwa sahihi.
 
Nchi hii ukijiuliza maswali utaumia mwenyewe. Nenda ukalime mchicha
 
Siku hizi JK ni role model wako.
 
Rais wangu ngoma bado mbichi,utaimudu?Time will tell.Kumbuka kwamba bila Mkapa na Kikwete kushuhulikiwa,utakuwa hujafanya kitu.
 
Yericko na bangi zake za kuvutia chooni anakuja kupotosha hoja ya ukweli huwa haiko hivyo mwambie zitto mjipange upya jk anafanya maendeleo kama haya
View attachment 200994
Hizi bangi za Yericko za kuvutia chooni ziendelee matokeo yake Leo mmiliki wa VIP Engineering Rugemarila na Singh wako mahabusu. Si bangi zote za choo zenye ukweli huu.
 

Weka ushahidi wa nyaraka, haya maneno matupu hata mie ningeweza kuyatunga na kuyaandika humu JF
Kama unaweza kuyatunga,bas tunga tuone,we unadhani hiz ni shanga utunge kiurahis,hoja hujibiwa kwa hoja,kama hauna hoja bora ukae kimya,kuliko kutapatapa

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Kupitia mkataba wa IPTL tunalipa kiasi gani kwa sikuuuuu!!!!!!????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…