Awsom
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,085
- 307
Duh! Allah tujalie kheri siye watanzania, maana viongozi wa nchii hii wamekuwa wezi kila mtu bila kuona huruma ya wenzao tunaoteseka kwa hali duni ya kimaisha. Kumbe ndiyo maana mafisadi hawafungwi maana mkuu wa kaya anajua na yeye yumo!! Eeh mungu tusaidie siye waja wako
Inshallah Sheikh...