DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Rais Mwizi ni aibu
Aibu kidogo!! Sasa imetosha Tanzania kuwa Mali ya familia. Tufanye maamuzi maana CCm kila kiongozi Ni mwizi na ndiyo maana hawajibishwi! Baba mwizi, mtoto mwizi, mjukuu mwizi!! Hii nchi itapona kweli??
 
Ufisadi mkubwa lakini mimi nimesoma mambo mengi ya ufisadi yaliyofanywa na marais wa marekani in recent history na ufisadi huu unaozungumzia hapa ni nothing,absolutely nothing compared to that.
 
Unamanisha nini wakati pia kiuchumi we are nothing compared to USA
 
Ufisadi mkubwa lakini mimi nimesoma mambo mengi ya ufisadi yaliyofanywa na marais wa marekani in recent history na ufisadi huu unaozungumzia hapa ni nothing,absolutely nothing compared to that.

Kwahiyo tusiujadili wala kuhoji kwakuwa haujaufikia ule uliousoma wakimarekani?

Tanzania na Marekani ni mbingu na ardhi
 
Ufisadi mkubwa lakini mimi nimesoma mambo mengi ya ufisadi yaliyofanywa na marais wa marekani in recent history na ufisadi huu unaozungumzia hapa ni nothing,absolutely nothing compared to that.

Kuna dosier ya Mama Clinton alivoitumia foundation yake wakati akiwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani inashtua sana anatuhumiwa kwa ufisadi wa dola bilioni kadhaa!!!
 
Hiyo mkuu wa kaya ndio virus namba moja katika madeal mengi, tunamachungu nae sana, ndio maana chama kinaenda kumfia mikononi mtu unaleta uswahili kwenye inch ya wenyewe ngoja wamnyoe kwa chupa mwaka huu
 
Ufisadi mkubwa lakini mimi nimesoma mambo mengi ya ufisadi yaliyofanywa na marais wa marekani in recent history na ufisadi huu unaozungumzia hapa ni nothing,absolutely nothing compared to that.

Usifananishe!!!! Hapa tunaishi chini ya dola moja kwa siku. Nakuheshimu ika kwa hili umechemka
 
Ufisadi mkubwa lakini mimi nimesoma mambo mengi ya ufisadi yaliyofanywa na marais wa marekani in recent history na ufisadi huu unaozungumzia hapa ni nothing,absolutely nothing compared to that.
So what? Andrew Nyerere, budget ya mtu moja tu Marekani yaweza kuizidi budget ya serikali nzima ya Tanzania! How dare you compare the two countries! Ni sawa na kulinganisha ukubwa wa tembo na sisimizi. Kwa akili hii, sidhani kama uko salama...unayo matatizo makubwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom